Hii kali

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,287
teheteheteheee.jpg

asa hawa wanafanyana nini?
 
Hebu tuwekee picha na si hicho ki thumbnail,mnatoa raha, ni simpo ikopi hiyo picha na ui paste. Namna hii:
attachment.php

 
sijaelewa kabisa wanachofanya hapo...naomba mnieleweshe...
 
Dah,hawa jamaa naona kama wanafanya jambo la ajabu sana,sijui nini! Very doubtful na huo mkao wao.
 
Wewe dada flora umeipata wappi hiyo; na mbona hauitolei maelezo sasa? lol
 
hao wanacheza ngoma.lakini kwa mwasherati akiona hii picha afikilie uasherati.nimeipenda lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom