TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,667
- 1,566
Wakati mwanafunzi wa kwanza na wa pili kitaifa wote wakitokea shule ya msingi Hazina iliyopo mkoa wa Dar es salaam huku yule wa tatu akitokea mkoani Mwanza tunaelezwa kwamba shule ya kwanza kitaifa imetokea mkoani Geita.
My take:
Suala hili kama ni sahihi sawa ila mimi nahisi kama ni kujikomba kwa watendaji wa tume kwa magufuli kwa kuwa ndiyo mkoa aliotokea.
Matokeo yamejaa siasa kiasi hata wahandishi waliokuwepo katika press conference hiyo walikuwa wakicheka muda wote.
Siasa siasa siasa kila kona.