Hii kali RUGAIMUKAMU:

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Hii kali RUGAIMUKAMU: Hivi Rweyongeza kale katoto kako Gozbert kako wapi siku hizi? Maana nakumbuka kalikuwa “dull” darasani mwenzake Albert ni daktari bingwa sasa!


MUCHUNGUZI: Ee Albert kumbe ni mtaalamu.


RWEYONGEZA: Aa Gozbert yupo, yeye kazi yake ni kuwahudumia wagonjwa walioshindwa na madaktari bingwa!


RUGAIMUKAMU: mmmmm!!!! (BAADA YA RUGAIMUKAMU kuondoka). MUCHUNGUZI: Eee Rweyongeza, nilishindwa kukuuliza vizuri mbere ya Rugaimukamu, sasa kama Gozbert anahudumia wagonjwa walioshindwa na madaktari bingwa, yeye ni nani?


RWEYONGEZA: Aaa unajua Ka Gozbert hakakusoma hivyo kanachimba makaburi!! Tehee Tehee kwikwi.
 
Ha ha haaa..! Wahaya bwana, kila mtu anatakakuwa juu ya mwenzake, teh teh tehhh
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom