Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Kali-- JK kachambuliwa kama Karanga kwenye comments Majira gazeti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Mar 1, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,020
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Someni Majira Gazeti kwenye comments za Kikwete alia na chadema
   
 2. m

  mwanafyale JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa kiume wewe unajua maana ya kuchambuliwa wewe ? au wewe demu nini ?
   
 3. m

  masaiti Senior Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante sana Mpadmire, achana na Mwanafyale, mimi namfaham sana (mtoto si riski yeye)
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona wachangiaje mnatukanana. Mnafaa BAN
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  unanikeeera we ki...mada wa ccm sijui umetokea waaapy
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumbe na wewe mchicha mwiba
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mpe yote ........ ili asikukere !
   
 8. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,708
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi mliianzisha thread hii kutuonyesha upuuzi wenu na uwezo wenu wa kuja na matusi mapya. Kweli mnastahili BAN nyie wote. Hata hivyo huwezi kuzuia maoni ya watu kuhusu hotuba hiyo maana wako wengine wengi tu walioifurahia na kuipongeza. Hiyo ndiyo maana ya uhuru wa kutoa maoni. Unataka tukubali tu kila likichozungumzwa na Majira. Inategemea lenyewe limeegemea wapi na linaichukuliaje hiyo hotuba.
   
 10. S

  Salimia JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 645
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu Genius Brain,, unasema?? Sijakupata fresh.
   
Loading...