Hii 'Jeki' ya Kajala ni babu kubwa

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Hii "Jeki" iliyopigwa na Kajala ni babu kubwaaaa....Hii ilipigwa siku ya uzinduzi wa filamu yake mpya.
Hakika wadada wa Dsm mambo yao ni motomotoooooooo.....Hivi hii kitu ya kubenjua hizi nyonyo kama beringi ya taili la mkokoteni ina maana gani?Kweli Dsm ina wenyewe!!
image.jpeg
 
Huyu dada huwa namzimikia sana mwenye contact zake please,nampendaa akiwa anaongea hana nyodo kabisa ,huyu pia mpole sana huyu dada .

Jaribu kuchek na mh nape,huenda anayo coz ndo alikuwa mgeni rasmi sio rahisi akose no zake. nasema hivyo nikiwa na maana kuwa lazima alipewa information kwa simu kabla ya kuandikiwa barua rasmi.
 
Back
Top Bottom