Hii inaweza kukusaidia kuongeza kujipenda. . . . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,707
Kuna propaganda za hovyo kuwa watu weusi wamelaaniwa na Mungu,sijui dhana hii imeanzia wapi,lakini iwe iwavyo mwanzilishi wake lazima atakua anawaogopa watu weusi,huwezi kukianzishia kitu au mtu dhana hasi kama hukiogopi.Weusi una thamani kubwa,shauri yenu mnaobadili nyele zenu,ngozi,majina n.k ili mfanane na weupe.Hivi unajua kama YESU alitoka familia yenye asili ya Africa?Unashangaa nini?YESU ngozi yake ilikua na rangi kama yako.Simoni Mkirene alilazimishwa kubeba msalaba wa YESU kwa sababu alikua na asili ya Afrika kama YESU,alikua anatokea mji uliokua unaitwa Krene(sasa Tripoli).Uafrika wa familia ya YESU unatokana na Musa kumuoa binti Yethro kuhani wa Midiani,huyu alikua mweusi kabisa,lakini Suleimani nae akampa ujauzito malkia wa sheba,hii ilikoleza rangi nyeusi kwenye ukoo wa YESU.Kwenye jamii ya wayahudi kukawa na Wayahudi wenye asili Afrika na wale wengine.Wakati Mtume Mathayo alipoenda Alexandria(Misri) wakristo wa huko walitengeneza sanam za YESU akiwa na pua kama za waafrika,kumbukumbu hizi wakoloni waliziharibu kuondoa ushahidi huu.Shauri yenu mnaoona weupe na nywele za weupe ni jambo la Kimungu!!Amkeni!!
 
Du asante kwa historia nzuri,I'm proud of being black! Eti bustani ya eden ilikua iraq au libya?
 
No wonder ulipotea sweetie, kumbe ulikuwa unafukua mahistoria! Proud to be urs!
 
Siamin ktk hizo propaganda and will neva ila tukiachana na physical attributes za mtu "mweusi" na tukienda kwa rational part hapo unaweza ukapata shida kuargue na mtu wa race nyingine kwamba watu weuc kuna somethng wrong with us,angalia yanayotokea bongo then africa esp kusin mwa jangwa la sahara even kwa weuc waliopo mbele huko wote tuna fanana kitu kimoja,wavivu wa kutumia mbongo zetu!
 
Full agree
 
Nilikuwa naangalia CNN juzi walikuwa wanadadavua jinsi gani wazungu walikuwa wakiamini nchi kama China na nyingine nyingi za Asia kama India hazitakaa ziendelee na moja ya argument yao ilikuwa kwenye culture za hawa watu.

Lakini sasa hivi maendeleo walonayo China na nyingine zinazoibukia yameanza ku prove wrong hawa wazungu.

Hivyo hata wewe waweza usiwe hai pale Africa itakapo kuwa ina lead dunia...lakini inawezekana

Kutokuwa na imani na waafrika ni moja ya brainwashing za wazungu.

Ukiongelea uvivu kuna wavivu kama waharabu??? mbona wako juu??

Na ujue kuwa hali ya hewa ya joto inachangia watu kuchoka (wewe unakokuita uvivu)

Siamin ktk hizo propaganda and will neva ila tukiachana na physical attributes za mtu "mweusi" na tukienda kwa rational part hapo unaweza ukapata shida kuargue na mtu wa race nyingine kwamba watu weuc kuna somethng wrong with us,angalia yanayotokea bongo then africa esp kusin mwa jangwa la sahara even kwa weuc waliopo mbele huko wote tuna fanana kitu kimoja,wavivu wa kutumia mbongo zetu!
 
Watu weusi watawale dunia mara ngapi?

soma historia ya Warumi na kanisa katoliki

jifunze kujua who was Hannibal
na Carthaginians walikuwa kina nani?

kumeshakuwepo Black Pope zamani

na Black Pharaohs pia

na Warumi washakuwa na viongozo black pia
 
Back
Top Bottom