Elections 2010 Hii inaonyesha dhahiri kwamba rais utayari wa kuitumikia nchi pasipo kujenga mataba

rafiki2010

Member
Sep 23, 2010
23
0
NANUKUU KWA KUSEMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa Watanzania kuwakataa wanasiasa wachovu ambao wanatumia kampeni za sasa kuwagawa wananchi kwa misingi ya ubaguzi.

Hili ni jambo la wazi ambalo watanzania wenye kuipenda nchi yao yawapasa kulifanya hili pasipo kulifanya hilo hao si watanzania wenye kuitakia tanzania indelee kuwa nchi ya amani na utullivu . Hili limejitokeza kwa vyama pinzani wakati wa kizinadi sera zao katika majukwa ya siasa . chakushangaza waacha kufanya kilicho wapeleka maju kwaani na hitime kuwajaza watanzani chuki na hasira miyoyoni mwao . hili siii jambo jema kwa hakika yatupasa tubadilike na kufanya kampeni yenye mtizamo chanya kwa taifa zima kwa ujumla
 
nanukuu kwa kusema

rais jakaya mrisho kikwete na mgombea urais wa tanzania kupitia chama cha mapinduzi (ccm) katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa watanzania kuwakataa wanasiasa wachovu ambao wanatumia kampeni za sasa kuwagawa wananchi kwa misingi ya ubaguzi.

hili ni jambo la wazi ambalo watanzania wenye kuipenda nchi yao yawapasa kulifanya hili pasipo kulifanya hilo hao si watanzania wenye kuitakia tanzania indelee kuwa nchi ya amani na utullivu . Hili limejitokeza kwa vyama pinzani wakati wa kizinadi sera zao katika majukwa ya siasa . Chakushangaza waacha kufanya kilicho wapeleka maju kwaani na hitime kuwajaza watanzani chuki na hasira miyoyoni mwao . Hili siii jambo jema kwa hakika yatupasa tubadilike na kufanya kampeni yenye mtizamo chanya kwa taifa zima kwa ujumla

sera za ccm za kuwashurutishawananchi wanyongena maskini kuchangia huduma za jamii kama vile elimu,afya, maji safi n.k ndio zinajenga ubaguzi na matabaka nchini tanzania. Mifano hai ni, wakati watoto wawafanyakzi na wakulima hutembea kwa miguu kwenda shule kilomita kadhaa kila siku asubuhi na jioni, na wengine kubughudhiwa na makondakta katika usafiri wa dala dala, na kupelkekea watoto wa kike kupachikwa mimba.

Watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hutumia rasli mali za serikali kwenda na kurudi shule, wakati watoto wa wakulima na wafanyakazi wanarundikwa hadi wanafunzi 100 katika darasa moja, watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm wanasoma katika shule za kulipia ambao daras moja lina kati ya wanafunzi 30-45 tu. Wakati watoto wa wafanyakazi na wakulima wanashindishwa katika shule za kata bila waalimu na vifaa vya kufundishia,
watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kusoma nje ya nchi kwa fedha zinzopatikana kwa ubadhirifu wa mali za umma.

wakati9 wafanyakazi na wakulima wanakosa hudumna za afya katika hospiatalai, vituo vya afya na zahanati chache zilizopo, familia za
watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kwa matibabu nje ya nchi hata kwa magonjwa madogo madogo kwa rasali mali za taifa

katika hali hii, kati ya ccm au vyama vya upinzani ni yupi anajenga ubaguzi na matabaka hapa nchini kwa sera na vitendo?

Ili kuwafanya watanzania wote kuwa sawa serikali ya mwalimu nyerere ilitoa huduma za kijamii bure bilakujali wadhifa wa mtu, kati ya watoto wa viongozi, wa wafanyakazi na wakulima? Enzi hizo wote tulipata matibabu sehemu moja kutokea rais hadi mkulima.
 
NANUKUU KWA KUSEMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa Watanzania kuwakataa wanasiasa wachovu ambao wanatumia kampeni za sasa kuwagawa wananchi kwa misingi ya ubaguzi.

Hili ni jambo la wazi ambalo watanzania wenye kuipenda nchi yao yawapasa kulifanya hili pasipo kulifanya hilo hao si watanzania wenye kuitakia tanzania indelee kuwa nchi ya amani na utullivu . Hili limejitokeza kwa vyama pinzani wakati wa kizinadi sera zao katika majukwa ya siasa . chakushangaza waacha kufanya kilicho wapeleka maju kwaani na hitime kuwajaza watanzani chuki na hasira miyoyoni mwao . hili siii jambo jema kwa hakika yatupasa tubadilike na kufanya kampeni yenye mtizamo chanya kwa taifa zima kwa ujumla

mbona yeye keshatugawa,,,,
 
nanukuu kwa kusema

rais jakaya mrisho kikwete na mgombea urais wa tanzania kupitia chama cha mapinduzi (ccm) katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa watanzania kuwakataa wanasiasa wachovu ambao wanatumia kampeni za sasa kuwagawa wananchi kwa misingi ya ubaguzi.

Hili ni jambo la wazi ambalo watanzania wenye kuipenda nchi yao yawapasa kulifanya hili pasipo kulifanya hilo hao si watanzania wenye kuitakia tanzania indelee kuwa nchi ya amani na utullivu . Hili limejitokeza kwa vyama pinzani wakati wa kizinadi sera zao katika majukwa ya siasa . chakushangaza waacha kufanya kilicho wapeleka maju kwaani na hitime kuwajaza watanzani chuki na hasira miyoyoni mwao . Hili siii jambo jema kwa hakika yatupasa tubadilike na kufanya kampeni yenye mtizamo chanya kwa taifa zima kwa ujumla

sera za ccm za kuwashurutishawananchi wanyongena maskini kuchangia huduma za jamii kama vile elimu,afya, maji safi n.k ndio zinajenga ubaguzi na matabaka nchini tanzania. Mifano hai ni, wakati watoto wawafanyakzi na wakulima hutembea kwa miguu kwenda shule kilomita kadhaa kila siku asubuhi na jioni, na wengine kubughudhiwa na makondakta katika usafiri wa dala dala, na kupelkekea watoto wa kike kupachikwa mimba.

Watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hutumia rasli mali za serikali kwenda na kurudi shule, wakati watoto wa wakulima na wafanyakazi wanarundikwa hadi wanafunzi 100 katika darasa moja, watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm wanasoma katika shule za kulipia ambao daras moja lina kati ya wanafunzi 30-45 tu. Wakati watoto wa wafanyakazi na wakulima wanashindishwa katika shule za kata bila waalimu na vifaa vya kufundishia,
watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kusoma nje ya nchi kwa fedha zinzopatikana kwa ubadhirifu wa mali za umma.

wakati9 wafanyakazi na wakulima wanakosa hudumna za afya katika hospiatalai, vituo vya afya na zahanati chache zilizopo, familia za
watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kwa matibabu nje ya nchi hata kwa magonjwa madogo madogo kwa rasali mali za taifa

katika hali hii, kati ya ccm au vyama vya upinzani ni yupi anajenga ubaguzi na matabaka hapa nchini kwa sera na vitendo?

Ili kuwafanya watanzania wote kuwa sawa serikali ya mwalimu nyerere ilitoa huduma za kijamii bure bilakujali wadhifa wa mtu, kati ya watoto wa viongozi, wa wafanyakazi na wakulima? Enzi hizo wote tulipata matibabu sehemu moja kutokea rais hadi mkulima.

kama kuna kitu kinawajza wananchi chuki na hasira ni vitendo vya ccm kuwapitisha watu wenye tuhuma za ufisadi kugombea ubunge, na kisha rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mhe jakaya kikwete kuwanadi kana kwamba hakuna lolote lililotokea.

wapinzani wakiongozwa na chadema wanafanya kampeni chanya kwa kupiga vita ufisadi katikamajukwaa pasipo unafiki hata chembe. Hali hii inawafanya wananchi kujazana kwa maelfu katika mikutano ya wapinzani pasipo kubebwa na malori, mabasi magari madogo, pikpiki kulipiwa mafuta na kutokuwepo vikundi vya burudani kama ilivyo kwa mikutano ya kampeni ya ccm.

Hii ni dalili tosha kwa wapinzani wanafanya kampeni chanya kwa kuzungumzia vidonda ndugu vya taifa hili, tofauti na ccm ambayo inageuza uchaguzi mkuu na kampeni kuwa matamasha ya sanaa.

Huyo jini kibaraka wa mafisadi katumwa kuja kutuandikia huo utumbo wake akidhani wote ni wapumbavu kama yeye wa kudanganywa na vijisenti vya kifisadi, laana yote itakayoipata ccm ikupate na wewe pia maradufu.
 
mtu anezungumzia watu ni useless people , mtu aneongelea facts kwa hakika ni mtu mwenye busara , kwa hiyo hata hao wanapinzani bora wakaongelea sera zao majukwani ,,,,,,, mashitaka na mazungumzo yote yanayohusia na mashitaka bora wakapeleke mahakamani
 
Watu kama rafiki 2010 ni mmoja wa matapeli wa haki katika nchi hii.

Hawa ndiyo wale wanafaidika na keki, kwa hiyo wanataka wao tu ndo waendelee kufaidi.

Ku#@dade@!...... moto ule ule tu...
 
NANUKUU KWA KUSEMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa Watanzania kuwakataa wanasiasa wachovu ambao wanatumia kampeni za sasa kuwagawa wananchi kwa misingi ya ubaguzi.

Hili ni jambo la wazi ambalo watanzania wenye kuipenda nchi yao yawapasa kulifanya hili pasipo kulifanya hilo hao si watanzania wenye kuitakia tanzania indelee kuwa nchi ya amani na utullivu . Hili limejitokeza kwa vyama pinzani wakati wa kizinadi sera zao katika majukwa ya siasa . chakushangaza waacha kufanya kilicho wapeleka maju kwaani na hitime kuwajaza watanzani chuki na hasira miyoyoni mwao . hili siii jambo jema kwa hakika yatupasa tubadilike na kufanya kampeni yenye mtizamo chanya kwa taifa zima kwa ujumla

Awful! I can't even understand what you are writing
 
mtu anezungumzia watu ni useless people , mtu aneongelea facts kwa hakika ni mtu mwenye busara , kwa hiyo hata hao wanapinzani bora wakaongelea sera zao majukwani ,,,,,,, mashitaka na mazungumzo yote yanayohusia na mashitaka bora wakapeleke mahakamani

aiseee pole sana bwana kumbe ccm oyeee!!!:confused2:
 
Back
Top Bottom