Hii inanishangaza.

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Jamani kwa namna moja au nyingine nilijikuta na fanya utafiti usio rasmi.
Nimeuliza wanawake kama 7(ninao waami kiasi chake) kujua kama wao huwa wanaota ndoto za kufanya mapenzi?
Jibu nililopata linanishangaza kidogo.
Mmoja kaniambia mara ya mwisho kuota alikuwa std 6, wapili akaniambia amewaha mara mbili tu tena ukubwani na watano waliobaki wameniambia hawajawahi.
Nikasema ngoja niulize waungwana wa jf wanasemaje kwakuwa mi nilidhani hili swala ni sawa kwa jinsia zote maana kwa wanaume hizi ndoto ni za kawaida sana ila kwa sasa sijui ukweli ni upi.
Naomba wanaopenda kuchangia swala hili waje.
 
Yaani sikumbuki mara ya mwisho ni lini, ofcourse namuota mupenzi ocassionaly lkn si sex.
 
nikimiss siku mbili tatu naanza kuota...nikipata ah mpaka nasau kama huwa naota,
 
mi nikiwa naukame naota, ukishtuka umelowa ni kuamka na kubadili viwalo na hasira juu!!!!!!
 
Me hizo ndoto ni kawaida kwangu kwa mwezi hata mara 7 ila sitaki kujipa headache eti nna jini mahaba...ila nahisi naota kwa vile hayo mambo nayapenda

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mkuu The Boss nimeona unapitia utafiti wa kijana wako ila naomba uje kuweka neno lako hapa.
Keeping in mind kwamba baadhi ya watu(female) wamesema hawajawahi kuota na wenginine wamesema wameota mara chache but you know the situation kwa wanaume, so what can you make out of it.
Plz.
 
nilikuwa naota wakati nabalehe, yan nikiamka na nshajimwagia, lakini tangu niwajue hawa viumbe, hakuna ndoto tena
 
nilikuwa naota wakati nabalehe, yan nikiamka na nshajimwagia, lakini tangu niwajue hawa viumbe, hakuna ndoto tena

Yule aliyeniambia ameota mara ya mwisho std 6 alinijibu kama wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom