Hii inamaanisha nin jaman wana siasa?

moshial

Member
Mar 20, 2012
39
2
Leo katika pita pita zangu kwenye mji wa Arusha nimeona gar aina ya Hiace ya abiria ikiwa na bendera ya CHADEMA,alaf kioo cha nyuma kina haya maandishi BORA UKIMWI KULIKO CCM hii inaashiria nin jmn
 
mwisho wa dunia.........
 
Unauliza CCM Arusha, hiyo ni sawa na kuuliza 'jana kulikuwa na jembe na nyundo pale NMC'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom