hii inakuaje?

kunku

Member
Sep 2, 2011
19
3
unakuwa na mahusiano na m2, umemtembelea mara mbili anapoishi, den akikwambia amekumis still anataka uende kwake, ukimwambia twende sehemu nyingne hatak anataka kwake, sasa is he right ukikataa anakasirika anadai unawanaume wengine,.. hii inakuaje? is he in love au interested in other thngs? au anaogopa watu?
 
completely mabata mabata ya mtoni..............
sijui hata Rose1980 yuko wapi atupe verse...........
 
Aise napita naenda mtaa wa tatu hapo mkishapata maana ya hapo juu mniambie
 
kwani we unaogopa nini kwake? kuna watu sio wa mitoko, ni wa kazini <---->nyumbani.
 
ila amejitahidi amekupeleka hata home mi nampa 50%.wengine ni wendo wa invisible tu
 
Aise napita naenda mtaa wa tatu hapo mkishapata maana ya hapo juu mniambie
<br />
<br />
Kupita sio mpango mkuu, kama unachochote mtupie dadaetu ajue hapo juu, but mi nadhani atakuwa anaogopa watu kama anavodhania mwenye uzi au anaishu ingine anashindwa kuiweka bayana,
 
eeeh ulikuwa umefichwa wapi nimekutafuta sikukuu yote hupatikani bwana

Nilipewa mkwara na Tf kuwa nisisogelee wala nisibishe kwako atakuwa amejaa tele kula pilau la Eid
Basi ikabidi nitulie tuu nyumbani
 
<br />
<br />
Kupita sio mpango mkuu, kama unachochote mtupie dadaetu ajue hapo juu, but mi nadhani atakuwa anaogopa watu kama anavodhania mwenye uzi au anaishu ingine anashindwa kuiweka bayana,

Hapa naona sina cha kumwambia maana jamaa yake anaonekana ni mtu wa kujificha sasa aongee nae ajue tatizo ni nini
 
inawezekana jamaa ndio utaratibu wake...akitaka kunyonga anapiga tu simu...ukizingua anapigiwa mwenzio.
dah kumbe ndo zenu lakini poa tu mimi mpenzi wangu akinikaribisha kwake nadhani kwangu anapoint zaidi mtu anakupeleka magest yote mjini bwana aaagh
 
nilipewa mkwara na tf kuwa nisisogelee wala nisibishe kwako atakuwa amejaa tele kula pilau la eid
basi ikabidi nitulie tuu nyumbani
mmmh mimi ni tf tofauti kabisa anae mtu wake bwana usinitafutie case humu
 
Maisha bana msipopelewa home mnalalamika mkipelekwa mnataka mwende kwingine, binadamu huwa haturidhiki kwa lolote
 
dah kumbe ndo zenu lakini poa tu mimi mpenzi wangu akinikaribisha kwake nadhani kwangu anapoint zaidi mtu anakupeleka magest yote mjini bwana aaagh

Sio zetu mie nakupa tu uwezekano mwingine usije jiaminisha kisa kakupeleka kwake.
Ukikaa nae hapo sawa ila hii ya kwenda na kuondoka inaweza maanisha mengi.
 
Hebu tudiscuss hii bajeti

Unampeleka lodge, may be 30,000
Unakod taksi, au unaweka mafuta ya 20000
Ukifika mnaagiza misosi (minimum chips kuku) 20000
Mnapiga 1 moto, 1 baridi 12000
Mnafanya mambo, asubuhi, au mkimaliza unamchapa per diem yake 30000 (minimum)
Unamkodishia teksi tena kurudi kwao 10000

Jumla 122,000/=

Unakuwa umepiga bao mbili!

Hii ni sawa na 61,000 kwa kila bao!

Kwa mtaji huu kama nina geto... huniambii kitu sijui tutoke, never
 
Back
Top Bottom