Hii ina sifa au ulimbukeni??

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
salaam alkum wandugu...naomba kuwakilisha,hivi we una boy/girl lover wako,inakuwaje mnapo kuwa mnado majambozi unakujaa kuadisia rafiki...mara ooh!yuko hivi ana nanii mda mfupi/mrefu.ni ulimbukeni au ni sifaa?
 
ulimbuken
utoto ata km una 50 yrs
ujinga
upumbavu
kutokujitambua thaman yako na kuitambua thaman ya tendo na thaman ya mwandan wako
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
anyway ni Washamba tu wenye tabia hiyo hamna sifa yeyote!
si dhani kama akiunderperform atatangaza! tendo lile ni siri hat watu wakitengena si vizuri kutangazana.Athari mojawapo ya huo utoto ni kupinduana kwa marafiki maana wanatangaziana mara ooh jamaa anajua,ana muhogo mrefu na mnene.....we acha tu au jamaa nae anamhadithia
jamaa yake ooh mpenzi mtaalam......au kinyume chake!sasa kila aliyehadithiwa atataka kuhakikisha then kupinduana na lawama kibaoooo yaan rafiki yangu ananifanyai haya........JIREKEBISHE NDG YANGU JIFUNZE KUWA NA SIRI MKUBWA WEEE!

COMMON SENSE IS COMMON BT NOT COMMON TO ALL COMMON PEOPLE
 
huyo mjinga ullimtoa wapi:bored:
hii tabia uwa inanekara tu,cse kuna watu mnakaa maali mtu anaanza kusimuliaa issue za chumbani akiwa na mpenzi wake.watu kama hawaa mi najifanya sisikilizii na kuwapotezeaa
 
salaam alkum wandugu...naomba kuwakilisha,hivi we una boy/girl lover wako,inakuwaje mnapo kuwa mnado majambozi unakujaa kuadisia rafiki...mara ooh!yuko hivi ana nanii mda mfupi/mrefu.ni ulimbukeni au ni sifaa?

1- hiyo hapo juu,
2-ujinga,
3-ushamba,
4-kutojitambua

Wee endelea tu kusimulia ila OMBA USIKU NA MCHANA NISIJUE kama unanianika huko nje, nikijua tu msimliaji na msikilizaji wote adhabu yenu moja,ksb naamini hawezi kusimulia kama hakuna msikilizaji.
 
unajua kuna ile mme kaa ana pita gal unasikia jamaa nisha kulaa hii'aaaaaaaaaaaagh...kuna jamaa hivo hivo watu wakamwambia dah!kacheki afya demu ana ukimwi
 
salaam alkum wandugu...naomba kuwakilisha,hivi we una boy/girl lover wako,inakuwaje mnapo kuwa mnado majambozi unakujaa kuadisia rafiki...mara ooh!yuko hivi ana nanii mda mfupi/mrefu.ni ulimbukeni au ni sifaa?

Kicheche =Limbukeni

acha kuokota vicheche watakuumbua bure
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom