Hii imetuacha midomo wazi.Hapa naona kitu kizito chenye ncha kali kimegeuka kwa bahati mbaya na kumlipukia mpendwa RPC, UPELELEZI WA NINI?
Kwanini isingekuwa ni yule wa iringa jamani?
Hivi tume ya uchunguzi imeshaundwa? Na imejumuisha akina nani? Walioko jiokoni mtujuze jamani!