Hii imetokea, sijui wewe ungefanya je?

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
kuna mzee mmoja mkware alikuwa anajiiba kwa mama mmoja jirani na anapoishi na familia yake, kama umbali wa kilometre moja kutoka nyumbani kwake.
huyo mzee alikutana na huyo mama maeneo tofauti na hapo mtaani wanapoishi, katika mazungumzo wakajua kwamba ni majira.

kutoka na mzee kuwa na note huyo mama alijiingiza japo alijua huyo mzee kaoa. mzee alianza kuhaga anakwenda safari kumbe anakwenda kujipoza kwa huyo mama, matokeo yake wakapata mtoto wa kike.
walificha siri kwa zaidi ya miaka 20.

noma ilianza pale mtoto wa kike wa huyo mzee alipopata boyfriend.

in fact mke wake wa ndoa naye alishashitukia dili, ila kwa wazungu na unafiki wao walikuwa wametengana chumbani kwa manufaa ya mtoto wa wakiume amalize masomo yake bila kuchanganywa na criss hiyo ya baba na mama.

lakini kumbe dogo alipokuwa anarudi rikizo kutoka shule alikuwa na girlfriend, na akampa mimba kwa sababu mtoto wa kike alikuwa amezimika sana aligoma kutoa mimba baada ya kushauriana na bfriend wake.

KIZAA KIZAA HUYO DADA alikuwa ni mtoto wa baba yake kwenye nyumba ndogo.

issue iliposhitukiwa na wazazi ilizua patashika kwenye nyumba zote mbili hiyo ilikuwa kati ya mama na mama na baadaye baba jinsi ya kuokoa jahazi la hiyo mimba maana dogo hataki kuitoa na wao hawajamwambia ukweli wa nyuma ya pazia.

siku moja msichana yuko chumbani kwake wao bila kujua kama yupo wakawa wanaongelea hiyo issue. mtoto akaisikia.

akaenda kwa boyfriend wake kwa majonzi wakala dili na kumuua baba yao.

mimi nii issue kila nikiipa nafasi kichwani nashindwa ningesima wapi? kama ningegundua mpenzi wangu ni ndugu yangu.

wahusika wamefichwa majina na mahali kutoka na unyeti wa hii issue ni true story
 
This is too bad, but not the end of the world!

They did not achieve anything tangible by killing their father!

Waachane, waheshimiane, maisha yaendelee!
 
This is too bad, but not the end of the world!

They did not achieve anything tangible by killing their father!

Waachane, waheshimiane, maisha yaendelee!

kama wanadini hiyo ndio habari yenyewe. ila kama wamemuua mzee kunauwezekano wakuendelea
 
the same same story imetokea huku tena mkaka anafanya crdb na waliamua kuoana pamoja na baba kukutaza mwaaka wa 5 huu wanaishi kama mume na mke
 
Hicho nacho ni kikwazo mkuu!

Nguvu ya mapenzi ni kali sana na haizuiliki,

Haijalishi inakabiliana na upinzani gani, nadhani ningekuwa mimi ningekuwa upande wa mpenzi wangu.

Hilo la kuua sasa sina uhakika, labda kama gharama ya kulinda penzi italazimisha kufika huko kwenye kuuana.
 
mimi nilipokutana nayo, niliifikilia kiafrika afrika na kuona kama jamaa wametenda kosa kubwa sana
lakini nilipoichakachua vizuri kama kweli walisha zama sana penzini udada na ukaka sidhani kama unaweza kujirudia tena,
hii inaitaji nguvu na ziada kueleweka
kweli hiki ni kikwazo
 
the same same story imetokea huku tena mkaka anafanya crdb na waliamua kuoana pamoja na baba kukutaza mwaaka wa 5 huu wanaishi kama mume na mke

ila wakiwashitukia wana dola watawafunga maana wanavunja sheria za nchi, at the some time nchi haina dini!!!!!!
 
Kama umezama kwenye penzi inakuwa ngumu kuachana.ingekuwa miye naendelea na huyo demu/sista wangu
 
wazazi huwa wanakosea hapo tu, ukisha zaa uezaa tu, unatakiwa uchukue jukumu la kumtambulisha mtoto kwa wenzake, msitake makosa yenu mliyofanya kwa tamaa zenu yawaangukie watoto wasio na hatia
 
Kwa kweli hii huwa inatesa sana uaminifu kwenye ndoa hakuna ndio maana dhahama inawaangukia watoto
 
Kasome kitabu kinaitwa NATAKA IWE SIRI cha HAYATI SHABAN ROBERT. Kina majibu ya suala hili.
 
penzi lingeendelea na mtoto angemwita baba babu.kuua dhambi.kwani hata hivyo sote ni watoto wa adam na hawa.hivyo sote ni ndugu moja.
 
penzi lingeendelea na mtoto angemwita baba babu.kuua dhambi.kwani hata hivyo sote ni watoto wa adam na hawa.hivyo sote ni ndugu moja.

duh hii yako kali ina maana mamaa wangu ninaye bonyea ni ndugu yangu
 
Back
Top Bottom