Hii imetokea mda si mrefu Arusha

arushaaaa hapana wakuu........nikuomba sana beto za kufikia

aisee chaliii angu.....mbona sisi tunaishi na hakuna noma yoyote.......Chugga ni shwari kabisa chamaaa......we cheki kwanza huyo chalii halafu uniambie picha inaongea nini......
 
Arachuga hakuna amani kabisaHuwezi hata ukanywa biya open space machokoraa lazima wakupige ngeta au beto au bisibisi ya ushuzi
 
mbona tunakunywa kila mahali na hakuna aliyetuchoma kisu......mimi si ndio huyu hapa napost au......na saa hii nina mpango wa kuelekea Bugaloo......na kesho nitapost.......vipi bana wewe.......
 
aaaaaaah barid ya yesu! Preta,....Beto arusha zina watu wao,kuna polisi mmoja alichomwa sindano ya mafuta ya taa sintosahau mtaa wa bongonyo
 
naona wanahanya sana!
 
aaaaaaah barid ya yesu! Preta,....Beto arusha zina watu wao,kuna polisi mmoja alichomwa sindano ya mafuta ya taa sintosahau mtaa wa bongonyo

mimi hapa huyu.....mbona sijachomwa kisu jana........
Arusha ukileta za kuletwa......unapewa kifinyo kitakatifu......ishi na watu nao waishi na wewe.........
 
street za atown, lazima uwe umeshajifunza jinsi ya kukombat visu, vinginevyo watakumaliza.
siyo arusha peke yao, hata moshi nako wanamtimndo huo wa kutumia sana visu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom