Hii imekaaje ??????

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Mpenzi anaekili kuwa ka-cheat mara nyingi huwa na mapenzi ya dhati, anajua kosa lake na pia anaumia kama unavyoumia wewe au pengine zaidi kwa kile alichokifanya na uwezekano wa yeye kurudia kosa ni mdogo sana kwa vile hatotaka kuumua au kukuumiza tena na that's love! Lakini yule anaeficha mpaka umekujakugundua affair imekuwepo kwa zaidi ya miezi kadhaa au miaka hana tofauti na muuaji na ni wazi kabisa hana mapenzi ya dhati na wewe

JE HII NI KWELI?
 
bora anayesema .....akinambia ukweli ntazidi kumpenda na wala stakuwa na kinyongo nae bt yule ambaye kauchuna mpk nkapata umbea kwa jirani.....ahh inauma sana!!!!
 
katika hadithi za hapa na pale...Ukweli unauma but it sets us free!!!
Yani najiuliza siku hiyo umekaa na wife/hubby, mara unaanza unajua mpenzi kwa muda mrefu sasa nimekuwa na uhusiano na fulani! Nisamehe shetani alinipitia ila nimetambua kosa langu na sirudii tena! Si ndo kujichongea huko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom