Hii imekaaje?

Lyamungo

Member
Aug 17, 2011
91
7
Inakuwaje inapotokea ajali ikaua watu kumi utamsikia JK katuma salamu za rambirambi na kwenda kuwasalimia majeruhi ila madaktari wakigoma wakafa mamia anakaa kimya, basi hata kuwatembelea hao wagonjwa, ni sawa hiyo?
 
mbona ni vitu viwili tofauti...

Yaani sawa na kushangaa kwa nini popo au nyangumi,hawajaendelea kama wanyama wengine kwa kutembea, achilia mbali kwa miguu miwili,basi hata miguu minne....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom