Hii imekaaje?

Kidume tu wewe! Unauliza imekaaje? Usidhani kuwapa wanawake mimba kutakufanya uwe dume!Udume ni pamoja na kuwa responsible katika matendo yako.Assuming watoto wote 8 wangezaliwa, ungeweza kuwatunza au unadhani huna jukumu la kuwatunza watoto wako?
Nyie ndio mnaochangia kuongeza machokoraa mitaani!Unadhani machokoraa ni kielelezo cha madume yaliyotia wanawake mimba na kujtelekeza au ni upuuzi?
 
Nimebaki kufikiria kidogo na kugundua kuwa fikra za vngenge yawezekana zinawakilisha fikra za wavulana/vijana wengi ambao kwao sifa iko katika uwezo wa kutungisha mimba na kuzalisha. Furaha iko katika kujua kuwa umeweza kumpa mwanamke mimba! Kumbe mwanamme wa kweli anapimwa katika uwezo wake wa kutunza mimba (siyo kuchoropoa) na vile vile katika kumlea mtoto katika maisha bora ambapo yanamfanya ajione ana thamani ya kuwa.

Hata hivyo, kwa wanawake wengine yawezekana kwao wanachojali ni kule kupewa mtoto kwani hawajali kama baba yupo au hayupo . Kwa wao unaweza kuwa umejifanya kuwa mashuhuri na kujitengenezea marketi.
 
Jaman jaman jaman,mbona umekua na roho ngumu ivo??hao watoto walikua na makosa gani!Hata ivo nakushauri tumia condom coz watu unaokutana nao hawajitambua kiac kwamba hawaelewi mizunguko yao!mimba unazitoa na ukimwi je?nina wacwac ww bado mvulana ukiwa mwanaume hutafanya mauaji hayo tena!
 
Jamani 4 the whole time i waz nt ready to b a dady nilikuwa kwenye mchakato wa maisha na ckupenda kuona damu yangu ikidhalilika kwa namna yoyote, nimejitahidi kuchukua precautions zote thats y najiuliza kulikoni cko kujisifu. I'm not a player but nimekuwa nikiishi mazingira tofauti tofauti ki2 ambacho kilinifanya kushindwa kuyaendeleza yale ya mwanzo
 
kuna mawili hapo...moja,inawezekana hao mademu zako hawajui kuhesabu siku zao vizuri.pili,hizo mimba hazikuwa za kwako mkuu
 
Nashindwa kuelewa kila msichana ninae do nae, cku tukiweka zana pembeni tu lazima anase mimba na hii haijalishi yupo kwenye danger au safe period. Mpaka sasa huyu msichana wa nane na wote inatokea hivyo kama kuna anejua sababu plz. Nikiri tu kuwa nimehusika katika kuzinyofoa but moja ilishindikana kwa ushauri wa daktari nikaiacha na sasa kidume cha nguvu. kama kuna anejua sababu ya hii kitu Mpaka sasa sijui nifanyeje!

Katika zama hizi za Ukimwi una do na wanawake saba tena bila kinga na mimba juu!Looh!Kabla sijakushauri nenda kwanza ukacheki afya yako, loh!
 
Ndugu,

Pamoja na kufanya makosa ya kushiriki kutoa mimba saba siamini kama ulichouliza kama kinawezekana maana binti kupata mimba ni lazima awe katika muda wa kupata ujauzito. Je wakati ujakutana nao uwa unawauliza kama wapo katika kipindi hicho au ni kwa bahati mbaya tu?

Binti wa kwanza, wa piti mpaka wa nane wote unawakuta wakiwa katika hali ya kupata mimba!!!. Katika kupata mimba hakuna miugiza ila tu ni suala la muda.
 
Kuhusu kupima niko safi, so far nipo kwenye mchakato wa ndoa though mpaka nikamilishe dissertation yangu na bint ndo anamalizia nursing but nikiangalia nyuma naogopa xana. Thanx God huyu hajui lolote zaidi mtoto mmoja nienae! Nashukuru kwa comments zenu
 
Hivi vyuo vikuu vinatusaidia nini?
Kuishi maisha ya kila siku au kutafuta pesa tu?
 
Inawezekana nimekuwa mzembe kupita kiasi lkn nilikuwa naamini katika natural birth control method ya kucheza na menstrual cycle coz athari za contraceptic nazijua cha ajabu cku ambazo ni most safe haya mambo yanatokea!
 
Nashindwa kuelewa kila msichana ninae do nae, cku tukiweka zana pembeni tu lazima anase mimba na hii haijalishi yupo kwenye danger au safe period. Mpaka sasa huyu msichana wa nane na wote inatokea hivyo kama kuna anejua sababu plz. Nikiri tu kuwa nimehusika katika kuzinyofoa but moja ilishindikana kwa ushauri wa daktari nikaiacha na sasa kidume cha nguvu. kama kuna anejua sababu ya hii kitu Mpaka sasa sijui nifanyeje!

Unaongea kama sifa vile mkuu. Ninavokuonea huruma hata sina la kusema. Anyway siku hizi siyo ujanja kupanga wapenzi. Be safe.
 
Jamani hili sio tukio la siku miezi au mwaka. Ni trend ya miaka kumi tokea incidence ya kwanza itokee, pia nimejieleza kinagaubaga kuwa nimekuwa nikibadilisha mazingira ktk kusaka maisha ki2 kilichonisababisha kushindwa kuyaendeleza mahusiano! Sasa wastani kwa mwaka hawafiki wawili, wangapi wanabadilisha kila mwezi kichenchede? Tuwe wakweli!
 
Muuwaji mkubwa weeeeeee!!!!! Hata aibu huna? Kuuwa viumbe unavyo vitunga mwenyewe? Unaomba ushauri....... Wacha ngono na kata filimbi yako ili usirudie tena kujamiiana.
 
Heri mm nimesema, wangapi wafanya kimyakimya afu mabingwa wa kucoment agressively? Inshort wanafki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom