Hii Imekaaje??

sioni kosa kumtukana ****** baba anapaswa kutunza mwanae,kosa naloliona ni yeye kuzaa na wanaume tofauti tofauti na kutegemea msaada wa kuwalea,yawezekana kabisa kupitia fedha za malezi na yeye anaweza kumudu maisha ya mjini......!!
 
Dah matapeli sana hao vijana wa mjini!!Back to topic...siwezi kumhukumu huyo mama kwa kumtukana huyo mwanaume au kwa kuzaa na wanaume tofauti kwasababu sijui kilichopelekea hayo yote.Nashangaa naadhi mnavyoponda....kwa hali hii wale wanaoogopa kusemwa wataishia kuchoropoa mimba ili asiwe na mtoto wa pili/tatu ambae baba yake sio yule yule wa wakwanza!!!Ila alichokosea ni sehemu tu ya kuongelea mambo yake....mengine yote ni juu yake na Mungu wake.Usimhukumu mwenzio kwa kua na watoto watatu wenye majina ya wisho yasiyofanana wakati we umewahi kutoa kichanga au kumshauri/shawishi mpenzi wako wa kike afanye hivyo.Au kama wewe umebahatika kupata wote kwa mtu mmoja sema tu asante Mungu yaishe!!

Ndo maana nimeshindwa kusema lolote dear, huyo mama watoto wake alizaa kuna wanawake wana watoto wawili tu kwa mume mmoja but before katoa mimba si chini ya nne wanaume tofauti... Type ya huyo mmama kwa uelewa wangu ni wale akipata bwana anaeona wa maana anapata mimba but yuko makini asishike ya mtu wa wasik, hio imeoneshwa dhahiri na jinsi hao wawili wanalelewa.
 
Duh! Hilo kweli treni utake usitake utasikia honi lake,huyu mama ujumbe ulikuwa sahihi ila jukwaa tu ndio alikosea.Life style siwezi kujudge kila mtu ana mpango kazi wake labda nayeye huo wa baba wa 3 ndio mpango kazi wake unavyoonyesha.
 
Ndo maana nimeshindwa kusema lolote dear, huyo mama watoto wake alizaa kuna wanawake wana watoto wawili tu kwa mume mmoja but before katoa mimba si chini ya nne wanaume tofauti... Type ya huyo mmama kwa uelewa wangu ni wale akipata bwana anaeona wa maana anapata mimba but yuko makini asishike ya mtu wa wasik, hio imeoneshwa dhahiri na jinsi hao wawili wanalelewa.

asante kwa msaada wako ngoja niende lunch kwanza
 
Ndo maana nimeshindwa kusema lolote dear, huyo mama watoto wake alizaa kuna wanawake wana watoto wawili tu kwa mume mmoja but before katoa mimba si chini ya nne wanaume tofauti... Type ya huyo mmama kwa uelewa wangu ni wale akipata bwana anaeona wa maana anapata mimba but yuko makini asishike ya mtu wa wasik, hio imeoneshwa dhahiri na jinsi hao wawili wanalelewa.
Kweli partner...kwasababu mtu hajabeba ushahidi kwamba na yeye amepita njia hiyo hiyo au zaidi basi anaona haki au sijui niseme sifa kumhukumu yule wenye ushahidi.
 
Haya mambo magumu saana Partner wanaume sometimes wana raha haya mambo walikwepeshwa...
 
Katavi usiniambie ulicheka au ulikauka kimya? bwana mama wa watu anasisitiza malezi kwa mtoto, hivyo mdingi ashirikiane vizuri!..Ni mstaarabu kuwa mkweli kuwa kila mtoto ana baba yake, angeweza kubambikia. Inawezekana ana hulka ya kuongea kwa sauti ila haimfanyi mtu mbaya kwenye jamii!..anaonekana kuwajali watoto wake kielimu na malezi pia..yote ni maisha!!
Sikucheka, wengi tulijiinamia na hasa akina baba sijui nao walikuwa na makosa kama ya yule baba aliyepigiwa simu!!
 
sioni kosa kumtukana ****** baba anapaswa kutunza mwanae,kosa naloliona ni yeye kuzaa na wanaume tofauti tofauti na kutegemea msaada wa kuwalea,yawezekana kabisa kupitia fedha za malezi na yeye anaweza kumudu maisha ya mjini......!!
Na pia sehemu yenyewe aliyopokelea simu sio nzuri, kwa sababu kila mtu kajua udhaifu wake japo wengi wetu tulikuwa hatumfahamu!
 
sioni kosa kumtukana ****** baba anapaswa kutunza mwanae,kosa naloliona ni yeye kuzaa na wanaume tofauti tofauti na kutegemea msaada wa kuwalea,yawezekana kabisa kupitia fedha za malezi na yeye anaweza kumudu maisha ya mjini......!!
Mzima lakini long time no see...., glad bado upo, Really Missed You;
Lakini I beg to differ, mimi sioni sababu ya kumtukana mtu ili kufikisha ujumbe ingawa huyo mwanaume deserves it kuzaa mtoto na bila kumtunza anakuwa kama sperm donor na sio baba..

Kuhusu kuzaa na watu tofauti (from the story hatujui kama alizaa ili ategemee msaada) maybe anamkumbusha tu mzazi wajibu wake na yeye anajua she can not afford alone na sababu ni damu yake anaona huruma mtoto anavyokosa elimu

Kuhusu kuzaa na watu tofauti (hatujui full story) so we can not judge..., maybe the first alidhani ndio the one alafu akapigwa kibuti.., wa pili akaja kwa gear kwamba he cares na yuko tayari kulea watoto wote and he turned out to be a fraud..., watatu huenda same thing or worse thing happened...(ingawa msemo wa Bush..., "Fool Me Once Shame on You, Fool Me Twice Shame on Me" kwahiyo kama kweli alidanganywa we can blame her kwa kudangwa and not otherwise....
 
Mimi sijui ninamuhukumu huyu mdada au mtanisamehe kama nimekosea lakini huyo dada hata kama ana matatizo gani haijalishi ni vipi alipata hizo mimba ana makosa kuzaa na wanaume watatu tofauti, na inaonyesha dhahiri anaishi kwa kutegemea wanaume.

Huyo mbaba pia inawezekana ana makosa au hana. Wanawake wengine akishatembea na mkaka/baba ana vihela hela basi kosa atamzalia kwa lazima mradi apatie pa kuchukulia pesa za matumizi ili na yeye ajikimu. Voice of reason katoa huu mfano hapa "Fool Me Once Shame on You, Fool Me Twice Shame on Me" Hainiingii akilini mtu uwe fooled once, urudie mara ya pili na ya tatu pia, hapana jamani hata kama huna elimu au ni masikini, kwa umasikini gani? huna mikono na miguu au
 
Naona wewe Maty unakubaliana na belief yangu hii...

Falling stupidly in love over and over when young is excusable
falling stupidly in love over and over when older is
inexcusable.
..

(Post #148 of understand the lady of have fallen for.. -ulishapitia reminding you tu)
 
Nakubaliana na wewe kabisa kabisa mamito. Yaani this is vere vere lol
[h=2]The Following User Says Thank You to Ashadii For This Useful Post:[/h]
Maty (Today)​
 
Sipendi watu wanaoongea mambo yao binafsi ya kifamilia kwenye daladala au bar.
 
Naona wewe Maty unakubaliana na belief yangu hii...

falling stupidly in love over and over when older is inexcusable...

Just for argument sake;-
Maybe you cant help or control falling in love....
Thats why its called fallling
I think when it comes to issues of love no one is any wiser...., yakikukuta you are done for.....
 
Sasa mtu mpaka unafikia 30 halafu huwez kujicontrol basi automatically you are a f...l, maana kipindi cha 20 hadi 29 to 30 mikiki yake si ya kitoto
 
Back
Top Bottom