hii imekaaje?

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
jamani hivi hii sela ya kilimo kwanza itafanikiwa? Huku kijijini kwetu,watu wamekopeshwa power tila,wanafanyia biashara ya kubebea mizigo kupeleka sokoni,hazilimi tena,wanadai eti,bila kufanya hivyo watashindwa kulipa deni!kweli tutafika?na wahusika wanasema wahahusiki na matumizi yake,kila mkulima ana haki ya kutumia apendavyo!
 
Kwanza elewa kuwa "kilimo kwanza" siyo sera, pili elewa kuwa kupeleka mazao sokoni ni moja ya mbinu za kuboresha kilimo kwani usipouza huwezi kulima.
 
Back
Top Bottom