Sijaelewa kuhusu awamu mpya ya udahili ya NACTE

Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
867
990
Habarini wakuu....

Hivi awamu hii ambayo NACTE wamefungua udahili ina maana ni kwa wote i mean form four na form six walioshindwa kufikia viwango vya kuchukua degree or...?

Maana mimi nataka nitumie cheti cha form four kuapply diploma.
 
habari wana jf, kwa diploma holder anaetaka kyapply degree muongozo upoje.. msaada tafadhali
 
Habarini wakuu....
hivi awamu hii ambayo necta
wamefungua udahili inamaana ni kwa wote i mean form four na form six walioshindwa kufikia viwango vya kuchukua degree or...?maaana mimi nataka nitumie cheti cha form four kuapply diploma.
Kuna NACTE na NECTA we unamaanisha ipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom