MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni? This could sound better
Hivi na Daraja la Manzese,chuo,salender,ubungo mandela road near landmark hotel,mzinga kongowe,wami? Wadau naomba ufafanuzi yanalipiwa?
Hivi na Daraja la Manzese,chuo,salender,ubungo mandela road near landmark hotel,mzinga kongowe,wami? Wadau naomba ufafanuzi yanalipiwa?
Labda mimi sielewi! Sijawahi kusikia dunia hii kunanchi inatoza hela ya kutumia barabara au daraja, zaid ya kodi, fines. Hii ya daraja la kigambon kuja kulipia kila unapotumia/kupita mi naona haijakaa sawa. Kwan kodi tunazolipa zinafanya nn? Panton tunalipia sababu ya kulipia gharama za uendeshaji kama. Mafuta, spare nk. Sasa daraja tunatalipia kwa sababu gan? Jana nilikuwa nasikiliza BBC hadi mtangazaji akashangaa kusikia litakuwa la kulipia. Wana jf naomba mnieleweshe sababu ya kuja kulipia hilo daraja ni nn? Na je huo utaratibu kuna nchi nyingine unatumia? Na nin maana ya public goods?
Nawakilisha
Kuna nchi zinatumia hii, na imesaidia sana kupunguza foleni. Kwa waliopo Malaysia watakubaliana na mimi, barabara nyingi tu ni Toll Roads, lazima ulipie (angalia picha) na ukikosea tu kusoma vibao vya barabarani utajikuta bila kupenda umeingia barabara ya kulipia ambazo nyingi ni express wayLabda mimi sielewi! Sijawahi kusikia dunia hii kunanchi inatoza hela ya kutumia barabara au daraja,... Na je huo utaratibu kuna nchi nyingine unatumia?
Kuna ufisadi mkubwa sana ulifanyika kuhusu hii issue ya daraja
Na nadhani muda ushafika wa kueleza ukweli
nilidhani hakutakuwa na malipo kumbe bora ya pantoni.
Tueleze huo ukweli
Kuna ufisadi mkubwa sana ulifanyika kuhusu hii issue ya daraja
Na nadhani muda ushafika wa kueleza ukweli
Suala la bei (214bn) na muda wa kumaliza(2015).......another financing mechanism by CCM...na Magufuli ni one of the contenders.Ndio maana mwaka huu kaamkia Kigamboni