nilidhani hakutakuwa na malipo kumbe bora ya pantoni.
Hivyo ndivyom itakavyofanyika. Wakisharudisha gharama zao za ujenzi daraja litakuwa na umma na ndio maana ya BOT - Build, operate and transfer.Kwa kuwa hakutakuwa na gharama ya uendeshaji kwa daraja halitakuwepo kama feri labda kuwe na muda maalum wa kulipia ili kurudisha pesa za NSSF
Tembea duniani uone ndio uanze kupiga kelele.
Hiyo dunia uliyotembea ni ipi?>
Nchi nyingi sana zina huu utaratibu na wewe ndio wa kwanza kushangaa.
Kweli ushamba ni mzigo mkubwa.
OTIS
Tembea duniani uone ndio uanze kupiga kelele.
Hiyo dunia uliyotembea ni ipi?>
Nchi nyingi sana zina huu utaratibu na wewe ndio wa kwanza kushangaa.
Kweli ushamba ni mzigo mkubwa.
OTIS
mi cjakataa kuwa mshamba, ndio maana nikauliza ili mtu aliyetembea dunian kote kama wewe na mjuaji kama wewe uniambie. Tell me mr mjuaji, kwa hiyo nchi nyingine madaraja yanalipiwa? Wanalipaje? Kwa kila mtu au gar tu au inakuaje mr mjuaji?
Labda mimi sielewi! Sijawahi kusikia dunia hii kunanchi inatoza hela ya kutumia barabara au daraja, zaid ya kodi, fines. Hii ya daraja la kigambon kuja kulipia kila unapotumia/kupita mi naona haijakaa sawa. Kwan kodi tunazolipa zinafanya nn? Panton tunalipia sababu ya kulipia gharama za uendeshaji kama. Mafuta, spare nk. Sasa daraja tunatalipia kwa sababu gan? Jana nilikuwa nasikiliza BBC hadi mtangazaji akashangaa kusikia litakuwa la kulipia. Wana jf naomba mnieleweshe sababu ya kuja kulipia hilo daraja ni nn? Na je huo utaratibu kuna nchi nyingine unatumia? Na nin maana ya public goods?
Nawakilisha
na wale wanachama wa Nssf ambao hela zao ndio wanajengea ...watalipishwa?