Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni?

Najiuliza lakini sipati jibu mwenye ufaham mpana atusaidie, je kwa nini wakazi Wa kigamboni walipe tozo/ushuru kupita daraja la nyerere ? Nikiangalia Tanzania tuna madaraja mengi yalyaliyojengwa mkopo lakini sijawahi kusikia watakaopita watalipia, au hilo daraja lina thamani tofauti na Barbara nyingine zilizotanda nchi nzima, ipo siku wakazi Wa kigamboni mtaambiwa kulipia hewa mnayovuta.Yangu ni hayo tujadiri.
Hii nchi tunaiweza wenyewe, mataifa mengine wanatushangaa kwa huduma za bure serikali kuzifanya kitega uchumi. Halafu na masifa mengi.
Kwa mfano ukienda Nigeria, kuna daraja linaunganisha Lagos na Victoria Island, hili daraja lina urefu wa km 14 na watu na magari yanapita bure, hapo mombasa kuna Ngali bridge nalo ni bure, kwetu Tz tunajiona sijui tunajua hela kuliko kuwatumikia Wananchi au ni aje sijui.
Najiuliza lakini sipati jibu mwenye ufaham mpana atusaidie, je kwa nini wakazi Wa kigamboni walipe tozo/ushuru kupita daraja la nyerere ? Nikiangalia Tanzania tuna madaraja mengi yalyaliyojengwa mkopo lakini sijawahi kusikia watakaopita watalipia, au hilo daraja lina thamani tofauti na Barbara nyingine zilizotanda nchi nzima, ipo siku wakazi Wa kigamboni mtaambiwa kulipia hewa mnayovuta.Yangu ni hayo tujadiri.
Hii nchi tunaiweza wenyewe, mataifa mengine wanatushangaa kwa huduma za bure serikali kuzifanya kitega uchumi. Halafu na masifa mengi.
Kwa mfano ukienda Nigeria, kuna daraja linaunganisha Lagos na Victoria Island, hili daraja lina urefu wa km 14 na watu na magari yanapita bure, hapo mombasa kuna Ngali bridge nalo ni bure, kwetu Tz tunajiona sijui tunajua
 
Back
Top Bottom