masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,857
- 13,140
Haya wanasheria wa vijiweni na mashabiki wa kisiasa naomba maoni yenu.
Kutokana na ukweli kuwa katika kesi ya ubunge Igunga , Mbunge wake Dr Kafumu ameangushwa kutokana na sababu nyingi.
Lakini sababu moja kubwa ilikuwa ahadi ya daraja la Mbutu, ahadi iliyotolewa na Waziri wa Miundombinu Dr Magufuli wakati wa kampeni.
Jaji aliyetoa hukumu hakugusia ujenzi wa daraja hilo ambalo sasa inaonekana dhahiri watu wa Igunga hawakustahili kujengewa.
Viongozi wa upinzani hasa Dr Slaa alikuwa Igunga jana, lakini yuko kimya juu ya hili.
Sasa nauliza ujenzi huu ukome kwa vile ulikuwa rushwa?
Wasalaam