Hii imekaa vp?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,033
79,020
kama JK anahudhuria huko kwenye mazishi ya Mh Mtema, na pia nina uhakika Rais wa mioyo yetu atakuwepo? Je picha litachezwa vp maana hamna uwezekano wa maziko kufanywa mara mbili...Je watapishana? Mie naomba Rais wa mioyo yetu ashikilie kamba asijibarague kama nafsi yake haijiskii maana tunajua sababu ya yeye kukataa kumtambua JK kama Rais halali! Ni hayo tu ukizingatia mpaka leo hii hatujapewa idadi kamili ya kura zilizohesabiwa uchaguzi 2010....! Hatutaki ile falsafa ya "hata mkisusa mie ndio Rais" itimie na kuridhisha nafsi ya JK...
 
Mbona sijaona kiti ilichokalia hiyo mada yako. Kama vipi piga picha ya mkao and then ndo nitachangia.
 
kama JK anahudhuria huko kwenye mazishi ya Mh Mtema, na pia nina uhakika Rais wa mioyo yetu atakuwepo? Je picha litachezwa vp maana hamna uwezekano wa maziko kufanywa mara mbili...Je watapishana? Mie naomba Rais wa mioyo yetu ashikilie kamba asijibarague kama nafsi yake haijiskii maana tunajua sababu ya yeye kukataa kumtambua JK kama Rais halali! Ni hayo tu ukizingatia mpaka leo hii hatujapewa idadi kamili ya kura zilizohesabiwa uchaguzi 2010....! Hatutaki ile falsafa ya "hata mkisusa mie ndio Rais" itimie na kuridhisha nafsi ya JK...
Yaani watu wengine HEWA kabisa! Tupo tunaomboleza unatubagua kwa misingi ya kisiasa! Hivi wewe ni mtanzania kweli?,kiumbe cha ajabu! Jinga kabisa!
 
Kwa hiyo ukiwa kwenye msiba ndipo ubadili msimamo wako sio? ndo maana watu kama nyie mnanunuliwa kwa kanga na t-shirts
 
Back
Top Bottom