Hii iliniuma sana. Nisaidieni

sasa kakwambia styli nyingi si mwambie akufundishe kama anazijua sex ni ushirikiano.....au pumzi fupi?
 
:juggle: nafurahi sana kajamaa kanavyo lusha tu mipira, oh! sory tafuta kama sutra part 4 utajifunza vizuri.. ila usiwe ......:focus:
 
duh duh duh ngoja mie nimhurumie huyu mdau...
skiza mdau...everything can be googled these days...make sure u do it on someone else before u do it on that mhusika

I hope u can google, ryt?
 
Habarini wangwana? Ni mara ya 1 mimi kukutana na mwanamke na hakika demu wangu game nilihisi ananizidi mautundu .kaniambia nimfanyie mambo mengii nikashindwa
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya MASEJI?
Una miaka mingapi? Au niseme hivi wewe na Raheem Sterling yule mtoto wa miaka 17 pale Anfifield nani mmkubwa? Ukijibu nitakuwa katika nafasi ya kukushauri
 
Ilikuuma vipi we umetafuta hujafahamu background yake we unaenda tu hahah hata GUTA kazi kulipelekesha siku ya kwanza lazima ufundi
 
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya MASEJI?
Anza kwa kutafuta massage oil madukani.

Halafu baada ya kuoga (kumuogesha, bila kusahau kumtawadha) na kumkausha maji, mlaze kitandani alalie tumbo.
Huku ukimtomasa tomasa na kumpa Maneno matamu, mdondoshee mafuta mgongoni (kumbuka uwe hujavaa kitu na umkalie mapajani bila kuput all the weight), anza na kumkanda shingo na mabega (usitumie nguvu nyingi, na usiache kummong'oneza masikioni). Muulize kama anaumia au uongeze nguvu kidogo.

Taratibu shuka mgongoni, mkamde ktkt ya mbavu, kama yuko selfish mkande kuelekea out, ili awe na mapenzi na watu, kama anajisahau yeye basi mkande inwards ili ajikumbuke.

Ongeza mafuta hadi kwenye backyard yake (yatiririshe), yafinyefinye mat.ko usitumie nguvu sana lkn.
Slide down ukae kwenye miguu ili ufanyie kazi mahips, then legs.
Mgeuze amalie back then anza na feet, toes, miguu, hips (ukiwa umemkalia kwenye kinena), then geuka cheza na kifua, mikono, kichwa (paji) la uso.

Unajua kinachofuatia! By the way how old are you? I hope umefikia right age na usisahau Condom.

Na mwisho kufanya mapenzi kabla na nje ya ndoa ni DHAMBI.
 
na kutawadhwa pia?lol

wewe ukianzisha massage pa lour sipati picha ..lol
 
Jamani hiyo massage ni ya mtu na mkewe sio Mteja na mfanya biashara!

Are you sure hupati picha, maana inaonekana picha ushaipata ndio maana ukaenda far. LOL
 
i need a massage from you lol...
 
Anza kwa kutafuta massage oil madukani.

Halafu baada ya kuoga (kumuogesha, bila kusahau kumtawadha) na kumkausha maji, mlaze kitandani alalie tumbo.
Huku ukimtomasa tomasa na kumpa Maneno matamu, mdondoshee mafuta mgongoni (kumbuka uwe hujavaa kitu na umkalie mapajani bila kuput all the weight), anza na kumkanda shingo na mabega (usitumie nguvu nyingi, na usiache kummong'oneza masikioni). Muulize kama anaumia au uongeze nguvu kidogo.

Taratibu shuka mgongoni, mkamde ktkt ya mbavu, kama yuko selfish mkande kuelekea out, ili awe na mapenzi na watu, kama anajisahau yeye basi mkande inwards ili ajikumbuke.

Ongeza mafuta hadi kwenye backyard yake (yatiririshe), yafinyefinye mat.ko usitumie nguvu sana lkn.
Slide down ukae kwenye miguu ili ufanyie kazi mahips, then legs.
Mgeuze amalie back then anza na feet, toes, miguu, hips (ukiwa umemkalia kwenye kinena), then geuka cheza na kifua, mikono, kichwa (paji) la uso.

Unajua kinachofuatia! By the way how old are you? I hope umefikia right age na usisahau Condom.

Na mwisho kufanya mapenzi kabla na nje ya ndoa ni DHAMBI.
kumbe ni hivi!hebu nikajipinde mie!
hapo kwenye bold ndo nitapazingatia sana!LOL
 
Back
Top Bottom