Hii Ikoje?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
DSC_1455.JPG
 
Iko vizuri tu. Inawezekana maiti iliokotwa kwahiyo hawajui alikufa lini. Ni vema ukakumbuka kuweka katika sala zako, kuomba kifo kizuri.....
KUMBUKA: Ombeni nayi mtapewa
 
Iko vizuri tu. Inawezekana maiti iliokotwa kwahiyo hawajui alikufa lini. Ni vema ukakumbuka kuweka katika sala zako, kuomba kifo kizuri.....
KUMBUKA: Ombeni nayi mtapewa
we ni choka mbaya kweli, kwa hiyo tuombe kifo kizuri sio?
 
tuombe nasi tutapewa..wale waimbaji wa kwetu pazuri unawakumbuka??walidai wamepamiss kwao mbinguni then jamaa akawachukua sasa na wewe omba uone
 
tuombe nasi tutapewa..wale waimbaji wa kwetu pazuri unawakumbuka??walidai wamepamiss kwao mbinguni then jamaa akawachukua sasa na wewe omba uone

Tatizo la mwanadamu kila anachopata analalamika waliimba wamepamisi kwao alipowachukua wakaimba kwanini ameyaruhusu haya yatokee
 
Mkuu Safari_ni_Safari umenikumbusha mbali sana kwa picha hiyo. Mahali hapo napafahamu vizuri, pamoja na mhusika pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom