VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Ok nimekupata lakini unaposema Modem inabadilisha data kwenye Audio naona unapotosha kabisa. Modem is about data .Modulation and demodulation ya data inaweza kuwa in form of ( Voice,Video, character)
Kwenye Connection ya Modem na Connection ya Simu... Modem inatuma signal za aina gani?
Yaani ili Modem ya position A (dar es salaam) through TTCL mpaka modem B (Mwanza)...., ziweze kuongea zinaongea kwa mfumo wa signal ya aina gani?