Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 263
Hii ni changamoto ya dunia yetu;
1. Kila mahali ukienda, idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume...!
2. Zaidi ya 50% ya watu hawa ni wakiristo, wanaopinga ndoa za wake wengi...!
3. Serikali za nchi nyingine kama Tanzania, hutambua mke mmoja kwa mume mmoja tu...!
4. Wanaume wenyewe wameanza kuchukuana wenyewe kwa wenyewe...!!!!, na kwa kila wanaume wawili waliochukuana, wanawake wawili wamekosa nafasi...!!!. Wengine huamua kutooa kabisa...!
5. Taasisi mbalimbali zimeanza kuendesha kampeni za kusihi walio katika mahusiano kuwa waaminifu katika mahusiano yao...! Hii ni habari njema, tena yenye baraka kwa Mungu, lakini ikitokea kampeni hizi zikafanikiwa kwa 100%, wanawake wengine watahudumiwa wapi?