Hii husababisha migomo kwa madaktari - Walipwa mshahara wa laki mbili kila mmoja

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Kuna madaktari ambao wameingizwa kwenye payroll kwa mwezi machi mwaka huu, cha kushangaza wamewekewa shilingi laki mbili kila mmoja kama mshahara katika akaunti zao. Bila kujali viwango wanavyopaswa kulipwa, kila mtu kapewa kiasi hicho (ingawa kima cha chini take home inatakiwa kuwa angalau laki 5 baada ya makato). Wizara ya afya inadai kuwa mshahara huo umetoka hazina hivyo hivyo. Inadaiwa huwa ni vigumu kuomba kurudishiwa kiasi hicho walichokipiga panga.
 
Mbona hilo linaongeleka. Ambalo haliongeleki ni Suala la Haji Mponda Lucy na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom