Hii haiko sawa

Mambo shy.

Mi nadhani wanaweza kuwa wametumia template moja kwenye website zao au ni watu wanofanya biashara pamoja.....habari ya kucopy na kupaste ni ishu nyingine hiyo maana hizi website zinafana sana isipokuwa top banner,jina la company, email na about us page.

Angalia Whois.Net na htttp://www.whois.net/whois_new.cgi?d=shugulika&tld=com

shy "JE SHUGULIKA AMBAO WAKO TANZANIA NDIO WAMEIBA KAZI YA GLOBALTARGET?"

Yawezekana pia ikawa the other way around.

Asante.
 
Back
Top Bottom