Hii dhana ya maslahi ya chama itatufikisha pabaya!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ndugu watanzania wenzangu naomba niwakumbushe hii dhana tunayoenda nayo yakusema nikwa maslahi ya chama itatufikisha pabaya watanzania na laana ya watanzania itawaangukia nyinyi!mimi binafsi Nashangazwa kuona watu wazima mnapeleka mambo kihuni huni kwakuwaburuza watu kana kwamba hawaoni hawana macho?jamii ya watanzania iliyowapa dhamana ili mtuwakilishe mnafanya mambo kwa maslahi yachama?huku hali mkijua mnafanya sivyo?mnakotupeleka siyo kesho hii nchi mkiitumbukiza kwenye machafuko nyie ndo wakulaumiwa!msitegemee kutumia dola kulinda maslahi ya chama mtatumia dola na mtaua watu tayari nchi mliyokuwa mnajivunia amani itakuwa imeingia doa kaeni mtafakari swala lakutanguliza maslahi ya watanzania kwanza ndiyo yafate ya chama!
 
Back
Top Bottom