Hii course ina soko tanzania kwel??

Majami

Member
Oct 23, 2012
6
0
Hebu nisaidieni jamani hii course ya BACHELOR OF PUBLIC ADMINISTRATION IN RECORDS AND ARCHIEVES MANAGEMENT ina soko tz na hawa watu wanafanya kazi gani na wapi?
 
nadhani utakuwa kwenye masuala ya masijala katika taasisi mbalimbali. Pia, ingawa sina uhakika, waweza kuajiliwa maktaba ama kwenye makumbusho
 
kupanga mafaili maoficn,we unacheza na mafaili ya watù,makorokocho yote unakua nao ww
 
Masijala, utakuwa mmbeba files, unahakikisha ya kuwa file lipo kwenye sehemu husika, utatakiwa kuwa na afya njema ikizingatiwa ya kuwa ofisi nyingi ni ghorofa...utapanda ngazi na kushuka mpaka.....File likiwa misplaced wewe ndiwe mchawi....utatafuta mpaka ulione..n.k
 
Ni course nzuri sana na ina market and well paying kama utabahatika kupata kazi kwenye UN org. go for it maana wanaosoma hii course ni wachache sana. unatakiwa uwe mtunza siri mzuri pia. maana records zote za organisation zitakua chini yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom