Hii baridi imezidi!!!!

Leo Nai sio baridi km jana! Mbeya ni noma mlioko Mbeya/Iringa poleni!
 
Ahaaa!shishi,uko tayari nikuvutie waya?mi niko arthi river hapa jirani yako.nipe nambari ya cmu baby.
 
Wapendwa, msaada kwenye tuta: Duvet maana yake nini?

In some European countries, any thick, warm blanket is subject to being called a duvet, as this has become a popular name for these kinds of blankets.

macinkus
 
mmmmm.....baridi nairobi imezidi jamaniiiii. am looking for a temporary living duvet... serious pple within nairobi only need respond!!! hamjambo lakini???

Makubwa haya!!! kiiswahili kinatafsiri nyingi kama vile kilivyo kiengereza ,mwezetu upo nairobi ,na unakhisi ubaridi lakini duvet litakutosha pekee ?kwanini usisogee mwambasa hapo ? jamani tenda hiyo, mie najitokea zangu .
 
Baridi iliyopo hapa Makete mjini ni hatari kabisa, baridi ya huko NR na mbeya chamtoto tu,imebidi tubadilishe semina mpaka desemba.
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! umefika Mbeya miezi mwezi huu? Kuna sehemu nyingine kama Tukuyu, na mvua inaongezea. Pia hapa jijini Mbeya. Wana JF karibu Mbeyaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! Mtakaribishwa na baridi.
 
Ahaaa!shishi,uko tayari nikuvutie waya?mi niko arthi river hapa jirani yako.nipe nambari ya cmu baby.

ahahahha kweli eh??? we can catch some java time... cafe latte!!! jamani msione wivu!
 
Leo Nai sio baridi km jana! Mbeya ni noma mlioko Mbeya/Iringa poleni!

yaani ulikuwa Nbi jana na hata kunipitia???? duh! i see now!! ubeste wetu unaishia papa hapa...lol, aisee leo ndio kabisa bwana tumeva kama walioko alaska!sijui kitambo july iishe itakuwaje!
 
poleni,, hapa nairobi ni july tu ndiyo yenye baridi basi imezidi duh!!!! winter winter hivi....leo ni 19 degs... down from 29-30, sio haba we!
is mbeya cold throught out the year?

Hiyo huku ulaya ni summer watu tunasherehekea, acha kukufuru ww 19 degs shwari kabisa labda unamaanisha unahitaji blanketi!!!!!!!!!!!
 
yaani ulikuwa Nbi jana na hata kunipitia???? duh! i see now!! ubeste wetu unaishia papa hapa...lol, aisee leo ndio kabisa bwana tumeva kama walioko alaska!sijui kitambo july iishe itakuwaje!

Shishi niko Nai hata sasa ni wewe tu na roho yako!!
Nilikuambia uje nikupeleke BOBMIL ununue Duvet umekataa!

Okay then nitakupeleka Savana upate Capuccino may be itasaidia....
 
mmmmm.....baridi nairobi imezidi jamaniiiii. am looking for a temporary living duvet... serious pple within nairobi only need respond!!! hamjambo lakini???

Ungekuwa Dar ungekwisha wewe.
 
Mi nipo Kibera wajameni, hizi slums hakuna hata baridi inaingia ni joto tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom