Hebu kuwa transparent, hakuna haja ya kuficha! mtaje huyo BM wao na yuko Branch gani yawezekana yeye labda ndo ana vyeti feki hivyo utakuwa umetoa msaada mkubwa kwao! Lakini kila mwajiri ana haki ya kutoa ajira kwa mtu anayemuhitaji? mbona serikarini kuna mpaka darasa la saba?
Yaani huna hata aibu mpendwa.Wewe si ulifukuzwa kwasababu ya kuomba wateja rushwa!!!!.Yaani watu wengine bwana huyu jamaa aliandika hii article ninamfahamu sana kwanza alikuwa na tabia ya kuomba wateja rushwa ili atoe mikopo this are kind of people muwaelewe watanzania tumekosa maadili kweli.Tunabaki kulaumu ufisadi wakati wenyewe hatuna morals.Najua atajustify mshaahara mdogo ndio maana aliomba rushwa na rushwa ya ngono kwa wake za watu je????.Huyu jamaa jina namfahamu,alipo sasa namfahamu na reasons za kutimuliwa access bank tunazifahamu.Jina tunalihifadhi if he has the gut let him deny it now.Kama sijamweka hadharani na pia kuanika reasons za wewe kutimuliwa ABT ikiwemo ...... i reserve it for now.He is envious of the place kwasababu they fired him