Hii alama ingefaa mitaa ipi katika eneo unaloishi

nahitaji moja 'samahani jina la mahali limehifadhiwa kwa usalama wangu dhidi ya watu wa eneo husika'
 
zipelekwe kimara mwisho pale karibu na matungucha
kuna wachaga kibao na hao jamaa kwa masanga loh
 
Nimeongea na TANROADS, wamekubali kuweka kulingana na mahitaji ya eneo husika:

JIJI LA DAR ES SALAAM

  1. Dar Live=150,000
  2. Sinza=100,000
  3. Kimara=80,000
  4. Mwenge na maeneo yake=75,000
  5. Tegeta=70,000
  6. Tandale na maeneo yake=50,000
  7. Mabibo=40,000
  8. Riverside Ubungo=35,000

Bado tunafanya utafiti wa maeneo mengine, kama unataarifa yoyote wasilisha haraka ili tuokoe maisha ya wachangiaji wakubwa wa bajeti ya TZ.
 
Nashauri nembo hiyo itumike na ile Mamlaka ya ukusanyaji kodi ili kuenzi mchango wa kundi hilo katika uchumi wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom