High qualty low cost printing ,copy services

SUYA

Senior Member
Jun 24, 2009
131
21
JOANA STATIONERY DIGITAL PRINTING
PRINTING A4 SIZE BLACK = TSH 100
PRINTING A3 SIZE BLACK = TSH 300

COLOR PRINTING A4 SIZE = TSH 500
COLOR PRINTING A3 SIZE = TSH 1000

Mteja anachagua aina ya karatasi anazotaka.

PIA TUNA PRINT LABELS

Note: Tupo savei njia ya kwenda braject opposite bull park pub
huduma nyingine zote za stationery zipo na kwa bei poa,
0717144200, 0713403517 ,0719384898

Karibu sana upate huduma ya uhakika
bei poa speed ya uhakika ubora wa konica Minolta BIzhub c652

Asante sana jf kwa kunipatia wateja

ofa kwa taasisi au kampuni kuprint zaidi ya page 1000 bei ni ts 50 (hamsini) tu

karibuni sana

joana stationery digital printing

printing a4 size black = tsh 100

printing a3 size black = tsh 300

color printing a4 size = tsh 500

color printing a3 size = tsh 100

mteja anachagua aina ya karatasi anazotaka.

pia tuna print labels

note: Tupo savei njia ya kwenda braject opposite bull park pub

huduma nyingine zote za stationery zipo na kwa bei poa,

0717144200, 0713403517 ,0719384898

a3 color ni tsh 100 ? Hapana sio kweli.uko makini kweli unajua unaweza kujaza watu kumbe umekosea bei.
Una maana black a3 ni ghali kuliko color a3? Be serious

a3 color ni tsh 100 ? Hapana sio kweli.uko makini kweli unajua unaweza kujaza watu kumbe umekosea bei.
Una maana black a3 ni ghali kuliko color a3? Be serious

niko serious sana tu kaka ila kumbuka ikiwa ulimi hutelaza je mkono?

asante kaka kwani kuteleza kupo natenda kurekebisha

color print a 3 ni tsh 1,000

pia taasisi, makampuni,shule n.k kuprint a 4 black ni tsh 50 kwa page zaidi ya 1,000
kumbuka mashine zetu zina finisher (stapler) kwa kurahisisha kazi za haraka.pia tunafanya parking ya kazi.

Ni packing na sio parking.

Haa haaaa nimekukubali karibu basi uniungishe

Haa haaaa nimekukubali karibu basi uniungishe

Ok nimekupata.mimi huwa nahitaji print za a3 color mara nyingi huwa naprint zaidi ya karatasi kumi. Kama vp nitapita hapo.ni sehemu gani hapo kwnye maduka ya frem nyingi.huwa nahitaji best quality printing.

Hizi bei zinapatikana survei kama unaelekezea brajec pub oposite na bull pub

Back
Top Bottom