High learning loan board

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
609
618
WANA JF naomba kuuliza.........

mi nafanya kazi kwenye kampuni moja hapa TZ.........
Nakila mwezi nakatwa makato fulani ilikulipia baadhi ya sehem ya mkopo niliokopa pindi nikiwa chuo.........
SWALI......

Nitajuaje kama deni langu limeisha?
nakivipi nikitaka kujua salio la hilo deni?
Je na hizo fedha ninazo lipa nikweli zinatumika kuwakopesha wadogo zetu walio vyuoni leo?

Akhasanteni.......
naombeni majibu
 
Back
Top Bottom