Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,644
3,288
160628094636_tanzania_flag_624x351_bbc_nocredit.jpg

Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania
Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa kuwa na rasilimali na madini mengi.

Na baada ya kugunduliwa kwa gesi asili huko Mtwara na dhahabu sasa watafiti kutoka Uingereza wamegundua hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania.

Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika.

Ugunduzi huo umefanyika katika eneo la bonde la ufa la Tanzania.

Katika taarifa kwa wanahabri huko Japan, watafiti hao wanasema kuwa uhaba wa gesi hiyo kote duniani ulikuwa umesababisha taharuki haswa kwa madaktari ambao wanatumia gesi hiyo adimu kuendesha mashine za utabibu zijulikanazo kama MRI scanners, mbali na kutumika katika mitambo ya kinyuklia miongoni mwa sekta zingine nyingi za kawi na teknolojia.

Kabla ugunduzi huo watafiti walikuwa wamebashiri ukosefu wa gesi hiyo baridi ifikapo mwaka wa 2035.

160628094355_helium_gas_624x351_bbc_nocredit.jpg

Image captionWataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika.
Mnamo mwaka wa 2010 Mwanfisikia mshindi wa tuzo la Nobel Robert Richardson alikuwa ametabiri kumalizika kabisa kwa gesi hiyo.

Ukosefu huo ulikuwa umesababisha wataalamu kuhimiza kutungwa kwa sheria itakayopunguza matumizi yake katika bidhaa zisizo za dharura kama vile kwenye vibofu kutokana na hali ya kuwa gesi hiyo ya Helium ni nyepesi kuliko ile ya Oxygen.

''Gesi tuliyoipata huko Tanzania inaweza kujaza silinda za gesi milioni moja nukta mbili za mashine za MRI'' alisema Chris Ballentine kutoka chuo kikuu cha Oxford.

MATUMIZI YA HELIUM

HELIUM ilitumika kupoza mitambo ya Apollo.

Inatumika kwenye vifaa vya matibabu (MRI, NMR).

HELIUM inatumika kwenye Rockets, Balloons, Arc welding and Leakage detection.

Tutavuka

=========

In research presented at the Goldschmidt geochemistry conference, researchers from the United Kingdom announced that they have successfully located a massive source of helium underground in the East African Rift Valley, a highly volcanically active area in Africa. All the more remarkable, they found the natural helium reserve on their first try.

"We sampled helium gas (and nitrogen) just bubbling out of the ground in the Tanzanian East African Rift valley.

By combining our understanding of helium geochemistry with seismic images of gas trapping structures, independent experts have calculated a probable resource of 54 billion cubic feet (BCf) in just one part of the rift valley." Chris Ballentine, a researcher on the project said. "This is enough to fill over 1.2 million medical MRI scanners.

To put this discovery into perspective, global consumption of helium is about 8 BCf per year and the United States Federal Helium Reserve, which is the world's largest supplier, has a current reserve of just 24.2 BCf.

Total known reserves in the USA are around 153 BCf. This is a game changer for the future security of society's helium needs and similar finds in the future may not be far away."

The researchers, partnered by a Norwegian exploration company calledHelium One were looking at the Rift Valley for a reason. Researchers knew that volcanoes (including Yellowstone) often had helium sources nearby.

Future research will likely look at narrowing down the areas where governments and companies can successfully prospect for helium.

"We show that volcanoes in the Rift play an important role in the formation of viable helium reserves. Volcanic activity likely provides the heat necessary to release the helium accumulated in ancient crustal rocks.

However, if gas traps are located too close to a given volcano, they run the risk of helium being heavily diluted by volcanic gases such as carbon dioxide, just as we see in thermal springs from the region.

We are now working to identify the 'goldilocks-zone' between the ancient crust and the modern volcanoes where the balance between helium release and volcanic dilution is 'just right'," said Diveena Danabalan, lead author of the research.
 
Wafanye haraka mchakato wa kuichimba kabla hata ya 2020 ili ziende sambamba uchangiaji wa pato la taifa na gase na yale ya Uganda,

hata hivyo hofu yangu hapa ni sheria zetu mbovu zinazohusu nishati zilizopitishwa na ile mijamaa ya "ndiyoooooooooooo ipite" ndo tatizo,

labda Magufuli azibadirishe sheria hizo maana anao uwezo wa kufanya hivyo pia anao mda wa kutekeleza hayo, maana mijitu iliyokuwa imezoea kupora mali ya taifa kwa mgongo wa ukada kindakinda wa chama tayari iko kwenye harakati za kuhakikisha Rais hapati uenyekiti taifa na hivyo kuja kumkwamisha kabisa kugombea mhula wa pili hapo ndo tutarudi nyuma kuliko hata ya 10 JK maana kwa hasira walizonazo juu ya Mkuu kuondoa ghost workers na kuwalazimisha wafadhiri wa chama kulipa kodi wakati hizi ndo zilikuwa vyanzo vya kudumu vya mapato ya chama,

Endapo watafanikiwa kwa huu mkakati yaani baada ya 2020 tutegemee ongezeko la wafamyakazi hewa 20,000 serikalini. Lakini twapaswa kumuombea sana Magufuli iwe ulimpigia kura au la ni muhimu kumuombea huyu kiongozi angalau sasa TZ chini inasikika hadi huko ang'ambo, mengine madogo madogo ni ya kulekebisha tu tena sisi wenyewe ndo tuyatafutie ufumbuzi.
 
Kwa mwendelezo huu, inamaanisha kuna utajiri mkubwa sana ambao ni bado undiscovered.

Kule Dodoma watu wanaokota tomalin, Ruby, moonstone tena kwenye surface kabisa,
Serikali inatakiwa ianze sasa kuandaa wataalamu wa nishati na madini kuanzia ngazi za chini hadi vyuo,

Ikibidi iingie gharama kupeleka graduates kwenye vyuo bora duniani wakapate technical skills.

Na pia sio lazima kukurupuka kuchimba haya madini, ni bora tusubiri wakati muafaka..
Natumaini makosa yaliyofanywa awamu za kina mkapa na jk kwenye madini hayatajirudia tena.
 
Inawezekana ilishaanza kuchimbwa miaka imepita, leo ndo wanakuja kutupa taarifa.
Mikataba wataenda kutia saini London.
 
wewe mwenye uelewa ambae hukurupuki leta fact,uranium imeisaidiaje tanzania.

Madini bado hayajaanza kuchimbwa, halafu uchimbwaji wa uranium sio kama dhahabu, uranium ni radioactive kwaiyo ni dangerous sana, uchimbwaji wake unahitaji precautions na ni very expensive.

Fuatilia hii ripoti ya mwakajana.

Mantra Tanzania ltd kuanza uchimbwaji wa uranium mkoani ruvuma.

By Andrew Zabron
August 2015

Uranium mining at the Mkuju River Project in Southern Tanzania may start in April next year.

The Deputy Minister responsible for mining in Ministry of Energy and Mining Charles Kitwanga said following the arrival of heavy machinery. Uranium mining is scheduled to commence in April next year.

Kitwanga said at full operation, the Mkuju River Project would employ 1,600 people. This would be a blessing to the unemployed youth in Southern Tanzania.

Mkuju River Uranium Project is located at Namtumbo District, Ruvuma region about 470 km southwest of Dar es Salaam.

During the life of the mine, the Mkuju River project anticipates $1billion of foreign investment and generate about $630 million to direct and indirect cash flows.

The Mkuju River project is an in situ recovery uranium project about 470 kilometres southwest of Dar es Salaam. It holds 139,600 tonnes of measured and indicated resources.

The project is owned by Mantra Tanzania Limited, a wholly owned subsidiary of Mantra Resources Pty Ltd. (formerly Mantra Resources Ltd.), an Australian registered corporation in which Uranium One has a minority interest.

The remaining shares in this company are owned by Uranium One Holding N.V.Uranium One is the operator.

At its 36th session in St. Petersburg from June 24 to July 6, 2012, the Unesco World Heritage Committee approved an application by the Tanzanian government for a minor adjustment to the boundary of the Selous Game Reserve.

Unesco World Heritage Committee required Tanzania removing the Mkuju River Project and an adjacent buffer zone from the Selous Game Reserve World Heritage Site.

Tanzanian allowed uranium mining inside the famous Selous Game Reserve after the United Nations World Heritage Committee approved an application by the Tanzanian government to alter the boundaries of the reserve in order to pave the way for uranium mining.

The government set out an area covering 350 kilometers within the Selous Game Reserve in the southern Tanzania tourist circuit for extraction of uranium.

In the process to extract this radioactive mineral in the area, the minister for Tourism and Natural Resources Mr. Lazaro Nyalandu signed an MoU between Tanzania’s Wildlife Division and Mantra Tanzania Limited.

The MoU said Mantra Tanzania would cooperate and support the Wildlife Division in the Ministry of Tourism to combat poaching in the southern parts of the Selous.

Mantra Tanzania Limited had to invest $800,000 and carry out anti-poaching activities in the area.

The mine will produce 60 million tons of radioactive and poisonous waste during its 10-year lifespan and up to 139 million tons of uranium if a projected extension of the mine is implemented.

Covering over 50,000 square kilometers, the Selous is one of the largest protected wildlife reserves in the world and one of Africa’s last great wilderness areas.

The park in southern Tanzania has large numbers of elephants, black rhinos, cheetahs, giraffes, hippos, and crocodiles, and is relatively undisturbed by humans.
 
Ngoja nitoe wazo gumu....tujenge kiwanda ...research centre inayoendana na vifaa vinavyotumia hiyo gesi.
 
Back
Top Bottom