Hidden Camera!

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,867
Kwa mara ya kwanza niliona matumizi ya vifaa hivyo kwenye documentary zilizorushwa na vituo kama CNN,Aljazeera,n.k. Nakumbuka baadhi kama uvunaji magogo haramu Sierra Reone,biashara haramu ya uchomoaji wa viungo vya binadamu mf.figo,moyo n.k unaofanywa na madaktari,uharibifu wa mazingira wa makampuni ya Barrick uko Amerika ya kati.
Ndio nikaja na swali hivi waandishi wa habari wa jamhuri ya Tanganyika hamjui kutumia vifaa hivyo,hamjuhi kuandika script za doc hizo au tatizo ni woga,elimu ndogo au? Mbona Tanganyika imesheheni documentary zinazolipa,hebu acha kuripoti MATOKEO tunataka MATUKIO!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom