hi

Kiduku

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
478
73
hizo ahadi za uchaguzi mwaka huu ni epusha kombe mwanaharamu apite au inakuwaje? mbona simuelemu muheshimiwa sana.

kwa nini asiwe musitaharabu wa kuwaachia wengine mambo yanapokuwa magumu. sana sana kinachofuata ni aibu. sisi tunakaa pembeni tuepushe msong'omano.
 
Back
Top Bottom