Hi.

Mkuu vp?.humu sio mahala pa kukaribishana humu shusha madini uliyokua nayo tukupe likes.Km unataka kukaribishwa nenda kwanza kule utambulisho members watakukarisha halafu rudi hapa utupe maujanja yako ndio tunayahitaji humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom