Hi

Jaman leo hakuna jipya?turushieni matangazo ya kazi watoto wa maskin

KUDADADEKI, kweli mjini shule; uswazi university!!! Huku ushenzini kwetu, wakati tukiwa wadogo unakuta mother anakutuma ukateke maji!! Kama ujuavyo mitoto ya uswazi; unakuta toto linakataa kitii amri ya maza!! Inapotokea mother kila njia anaitumia ili ukalete maji na wewe unakataa walikuwa wanamalizia kwa kutuambia maneno haya......"we mbwa mi nakutuma ukalete maji halafu unakataa sio?! utakula jeuri yako leo!" Totolucky kauchuna mara moja tu ku-post jobs adverts mmeshaanza kulialia wakati anapo-post jjeuri kibao....oh zoom wabinafsi, oh zoom wanaboa......teh teh teh.....utakula jeuri yako leo!!
 
Back
Top Bottom