Hi. Wana JF

achiwalila

Member
Dec 2, 2008
29
0
Naitwa Achiwa Lila. Nawasalimu kwa furaha tele..
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mawazo, maswali na majibu mbalimbali katika JF. Kwa kweli yamenifurahisha, yamenifariji, na yananipa matumaini kuwa kweli Wana wa Adamu sasa ni makini na tutafika kunako makusudio ya kila mmoja wetu ili madi tu mwenyewe akipenda.
Nawapongeza sana wana JF wote tuko pamoja naomba mnipokee rasmi ndani ya nyumba.

Achiwa Lila
 
Karibu Achiwa!, ijapokuwa nami ni mgeni ndani ya nyumba lakini nimeona ni vyema kukukaribisha. Ni kweli wana JF hata nami wamenihabarisha sana na kunifanya wakati wote sasa kuwa aware na mambo ya nchi yetu.

Thanks
 
Back
Top Bottom