Hi picha ina picha ngapi zilizokuwemo ndani yake? jaribu kuchunguza kisha nipe jibu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
127-ocampo-friendship-of-don-quixote_030321.jpg
http://games.yahoo.com/photos/mind-...endship-of-don-quixote-photo-1327374204.html#
 
Umeweka picha moja mkuu usitufanye wehu hapa. Halafu umepekua wapi ukayapata haya madude?
 
Umeweka picha moja mkuu usitufanye wehu hapa. Halafu umepekua wapi ukayapata haya madude?
Unayo macho lakini Mkuu picha nilizoweka hapo juu ni moja tu? hebu angalia vizuri kila picha niliyoweka kuna picha ndani yake ni nyingi tu hebu angalia vizuri umevaa miwani ya jua mkuu?
 
Nimemuona JK akiomba msaada kwa Cameroon!
Lakini umekosea kujibu Swali langu hakuna hapa Mzee JK akiomba Msaada kwa Cameroon mbona upo nje ya Mada ya Picha yangu? Mkuu una chuki na Mkuu JK nini? Tafadhali usiharibu Thread yangu utakula BAN PleaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSe
 
Back
Top Bottom