Hi ndiyo love story usiyoifahamu katika siasa za Uganda kuisaka Ikulu

Magoiga SN

Member
Oct 15, 2016
15
61
Je Unajua Mke wa Besigye wa Sasa Alikuwa Mchepuko wa Museveni???

Magoiga SN-Mwanza

",,,, katika hii picha ni Rais Museveni akiwa ameenda kumjulia hali Baba yake Mzazi kijijini enzi za mapambano, hii inakisiwa ilikuwa mwaka 1984. Wakati picha hii inapigwa mke wa Museveni alikuwa uhamishoni/Uingereza. Mwanamke unayemuona pembeni akiwa amevaa vazi la kijeshi ndiye 'Starring' wa hili andiko la leo) Tuendelee.....

Uganda kuna mwanasiasa mwanamama mmoja anayefahamika kama mwanamama msomi na mtanashati, lakini kubwa zaidi ni kuwa anaheshimika kama mwanamke wa kwanza nchi humo kurusha ndege angani. Ni mwanamke anayeweza kujenga hoja vyema na kwa kujiamini awapo jukwaani au hata ktk mijadara mbalimbali 'Round Table Discussion'

Ukiachilia mbali uwezo wake wa kujenga hoja jukwaani mwanamama huyo ambaye kwa sasa ni mkuu wa shirika la Oxfam duniani amewahi kuwa mbunge katika bunge la Uganda kwa takribani miaka 11. Amewahi kuwa mwenyekiti wa wabunge wanawake ktk bunge la Uganda akishughulikia masuala ya jinsia, haki na usawa. Kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Oxfam, amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jinsia ktk kitengo cha maendeleo chini ya UNDP. Nazungumzia Mwanamama Eng Winnie Byanyuma, mwanamke machachari ktk historia ya kisiasa nchini Uganda, Msomi, mwanadiplomasia, mpambanaji hodari na 'Mchochezi wa chuki baina ya Museveni na Dr Kiza Besigye"

Lakini kinachovuta hisia za wafuatiliaji wa siasa za Uganda ni kuwa mwanamama huyu aliwahi kuishi na Mseveni kama mke wa Yoweri Mseveni kwa miaka mitano mfululizo kuanzia mwaka 1981 mpaka mwaka 1986. Huku wakishiriki katika mapambano makali ya msituni kuisaka Ikulu ya Uganda.

Lakini ukumbuke kuwa, Mseveni alianza mahusiano na huyu mwanamama mwaka 1981 ilihali tayari museven alikuwa na mke ambaye alimuoa August 1973, ndoa iliyofungiwa huko Uingereza. Kwa lugha Nyepesi Museven alichepuka na huyu mwanamama.

Mwanamama Winnie huyu alikuwa ni miongoni mwa wanajeshi wa Museveni waliokuwa msituni wakipigana vita ya kuisaka Ikulu ya nchi hiyo. Kwa ufupi ni kuwa mwanamama huyu ameshiriki kwa ukaribu sana bega kwa bega na Museveni ktk vita ya msitini chini ya NRM (National Resistance Movement).

Tarehe 29 January 1986, Museveni na wapambanaji wenzake walifanikiwa kuikamata Ikulu ya Uganda rasmi. Muda wote huo wa mapambano mpaka Museveni anaikamata Ikulu mke harali wa Museveni ambaye yuko nae mpaka sasa hakuwa nchini. Huyu mke wake alikuwa uhamishoni ktk nchi ya Uingereza. Ambapo alikimbia machafuko nchini Uganda baada ya Obote kupinduliwa.

Mwaka mmoja baada ya Museveni kukamata nchi, ndipo Janet Kataaha Museveni aliporejea Uganda kutoka uhamishoni huko Uingereza na kuja kujumuika na Mume wake ktk Ikulu ya Uganda.

Kurejea kwa Janet Kataaha Museveni nchini Uganda kutoka Uingereza, kulimlazimu Mwanamama Winnie Byanyuma kusitisha uhusiano na Museven maana mwenye Nyumba kurejea. Wakati huo Dr Kiza Besigye ndiye aliyekuwa Daktari wa Rais wa Uganda.

Baada ya Bi Byanyuma kuachana na Rais Museveni na kupishana mlangoni na mke wa Mseven Janeti akiwa anaingia Ijulu, Bi Byanyuma aliamua kufunga ndoa na Dr Kiiza Besigye mwaka 1998. Yaani Dr wa Rais Museveni anamuoa mwanamke aliyekuwa mali ya Mkuu wake. Hiyo inaitwa kununua kesi

Ukiifuatilia kwa ukaribu sana hii historia kati ya Dr Kiza Besigye, Bi Byanyuma, Bi Janet Mseven, na Rais Mseveni unaweza kugundua kuwa upinzani ukiopo kati ya hawa watu ni zaidi ya siasa.

Dr Kiza anataka kumthibitishia Bi Byanyuma kuwa yeye ni bora zaidi ya Rais Mseveni akiyekuwa mwandani wa Byanyuma kabla hajaolewa na Dr Besigye.

Mke wa Rais Mseveni na yeye ana chuki dhidi ya mke wa Kiza Besigye, na anapambana kuhakikisha kuwa mwanamke (yaani Bi Byanyuma) aliyewahi kumsaidia kumtunza Rais Mseveni kimahusiano (Kama Mchepuko wa mume wake) wakati yeye akiwa uhamishoni/ughaibuni haingii Ikulu.

Mke wa Kiza Besigye akimpigia simu Rais Mseven hampigii kama Rais pekee bali anampigia kama mtu aliyewahi kuwa mwandani wake kwa zaidi ya miaka 5.

Hivyo ni ukweli ulio wazi kuwa Bi Janeth Museveni mke wa sasa wa Rais Yoweri Kaguta Museveni asingetamani kuona siku akiondoka Ikulu akipishana na Bi Byanyuma mke wa Dr Kiza Besigye, aliyewahi kuwa tishio kwa nafasi yake ya kuwa first lady wa nchi hiyo.

Kiza Besigye anapambana kuhakikisha kuwa anampa mke wake Zawadi ya Ikulu.

MASWALI YA UCHOKONOZI
Mseven aliona 1973, ndoa ikifungiwa UK

Alianza mahusiano ya kimapenzi tena akiishi kama mume na mke na Winnie Byanyuma (Tangu 1981-1986)
Kwa lugha Nyepesi, Mseven alikuwa akichepuka na Winnie Byanyuma, kipindi ambacho mke wake hakuwepo tena wakiishi kama mume na mke kwa zaidi ya miaka 5
Muda huo mke wa Mseveni alikuwa nje ya nchi, na alirejea nchini mwaka 1987 akitokea Uingereza, hapo ndipo alipoanza kuishi na Mseven Ikulu

Baada ya Janet, mke wa Mseveni kurejea, Winnie alilazimika kuachana na Mseveni, na baadae akaamua kuoana na Dr Kiza Besigye

Sasa Niambie, Mseven alichepuka na mke wa sasa wa Kiza au Dr Kiza huenda alikuwa akichepuka na Winnie huku akiwa na Mseveni???

HITIMISHO

Siasa za Uganda zimekolezwa a uhasama uliojengeka ktk wivu wa kimapenzi, mahusiani, na "old memories"

Wapo wanaosema kuwa, hata Dr kuondoka serikalini alikuwa anataka kumuweka mbali mke wake dhidi ya Mseveni maana kuendelea kukaa pake ilikuwa kama kuruhusu watoto wacheze ndani ya shamba la miwa harafu utegemee muwa hata mmoja usivunjwe.

Ndiyo maana haitatokea Mseveni amkabidhi Dr Besigye Ikulu ya Uganda, maana hii ni miamba miwili ikiyowahi kuoimana ktk kugombea penzi la mwanamama Winnie.

Asanteni
Magoiga SN
 
flushed.png
 
Na hapa kwetu Festi Ledi wa awamu fulani, si alikuwaga mke wa waziri fulani maarufu wakati ule aliyesema "hata kama watu watakula nyasi lakini ndege ya rais itanunuliwa"(?)
 
ila janet mzuri kiukweli
 
Na hapa kwetu Festi Ledi wa awamu fulani, si alikuwaga mke wa waziri fulani maarufu wakati ule aliyesema "hata kama watu watakula nyasi lakini ndege ya rais itanunuliwa"(?)
Si useme tu mama b.w.m alikua mke wa bana B .p.m
 
Museveni hakuweza kuzaa hata katoto kamoja na huyo winnie? ila wivu wa mapezi ni mbaya mno na pengine husababisha kifo kabisa. Mimi naona besgye alikua anatafuta hapo kidogo kipindi museven akiwa nae hiyo miaka mi5 na sababu ya winnie kuolewa na kiiza ni kumkomoa museven au kusababisha ugomvi kabisa kwa sababu ni dhahiri hakuridhia kutemwa
 
Huyu mama Winny Byanyima ni msomi mzuri ndie mwanamke wa kwanza nchini uganda kupata degree, kabla ya kwenda mstituni kujiunga na vita ya mseveni alikua ni mhandisi wa ndege. inasemekana kweli kwamba alikua mchepuko wa mkuu wakati wa vita. Kwa wababe wa vita hilo ni jambo la kawaida. Hata Kagame wakati wa vita alikua na kifaa chake maarufu kama major Rose Kabuye, kipindi mke we anaishi Nairobi na Kampala. Baada ya vita Winnie hakua na tatizo serikalini na aliteuliwa kua balozi wa Uganda katika nchi mbalimbali. Matatizo yalianza huyu mama alipokua mbunge wa Kampala kwa sababu alikua akipinga baadhi ya matendo na sera za serikali. Miaka ya 2000 mwanzoni alikamatwa mara kwa mara ikabidi akimbilie Ethiopia na kuacha kazi ya ubunge na kule Adis alikua akifanya kazi UNDP. Kwa sasa ni boss wa Oxfam International huko UK.
 
Back
Top Bottom