JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
you are a GREAT THINKER OF OUR TIMES.kweli kabisa huyu bwana porojo namchukia kupita maelezo.ameigawa nchi vibaya mno and is not concerned at all.Watanzania tuko kwenye uhasama wa kidini ambao haujawahi kutokea.angalia MISA ya pasaka badala ya kusali usiku sasa watu watasali mchana kwa kuhofia usalama wao maana kuna tetesi kuwa kikundi cha waislamu wabaya wanampango wa kuwateketeza kwa mabomu ya kujitoa mhanga.yeye yupo tu ana chekacheka bila hata kukemea. INAWEZEKANA SIYO KWELI LAKINI ANAPO KAA KIMYA JAMII INACHUKULIA KUWA NI KWELI.Au ni upepo tu unapita?