hi : Msaada Jinsi ya kubadili network set kwenye cm 'MI' A300

du mkuu embu nambie kwanza feedback kabla sijafanya ivo yani hapo ntakua nafanya simu iweje
Itakuletea menu na utachagua ya kwanza phone information alafu utashuka chini utakuta mahali ya network type na hapo chagua wcdma `preffered`
 
Back
Top Bottom