Hi JF members, am back am miss america

Kamanda rejao umeopoa tayari halaf inasemekana Miss America anafanya kazi CNN. tayarisha paperworks za kuombea viza rejao. Ukifika huko tusalimie rais wa wabeba maboksi Nyani Ngabu
Khaaaa, kumbe upo?bora uendelee kumpigia rejao chapuo tu coz nakuangalia hapa nisije nikaibiwa bure!ukianza kuandika kidhungu tu nitajua nishaumia coz sielewi kitu miss amerika atakuwa keshaniopolea lol!
 
heheh afazali umehuzuria yaani tangu majuzi hata mswaki sjapiga kwa kukumiss. Miss America atarejea kaenda kununua karolaiti kidogo jua la bongo limechafua rangi yake
 
hehehe ushanunua dikshineri? Miss Amerika asje akakuambia "condom" wewe ukaitikia "amen" utatuangusha mkuu
Lol mbavu zangu!
dikshenari muhimu...hiv siku zote miss bado hajakijua kibongo?
Dikshenari ikishwinda kazi kuna mwalimu bombu atanipiga msasa!
 
heheh afazali umehuzuria yaani tangu majuzi hata mswaki sjapiga kwa kukumiss. Miss America atarejea kaenda kununua karolaiti kidogo jua la bongo limechafua rangi yake

Nipo nilikuwa nasubiri kufumania km hv,ila kwavile nimegundua kuna matuzi ya kidhungu nimeibuka fasta kabla hayajaanza coz nitaambulia patupu!
Pole mahabuba wangu nadhani sas unaweza upiga msawaki nakuoga kbs,kwan niko araundi naimarisha ulinzi shirikishi,si unajua mtu chake!
 
Lol mbavu zangu!
dikshenari muhimu...hiv siku zote miss bado hajakijua kibongo?
Dikshenari ikishwinda kazi kuna mwalimu bombu atanipiga msasa!
hehehe halaf Mkuu lazima ukaonane na anodi shwazinega mwaka huu. watakukoma kwa mtogole.
 
Nipo nilikuwa nasubiri kufumania km hv,ila kwavile nimegundua kuna matuzi ya kidhungu nimeibuka fasta kabla hayajaanza coz nitaambulia patupu!
Pole mahabuba wangu nadhani sas unaweza upiga msawaki nakuoga kbs,kwan niko araundi naimarisha ulinzi shirikishi,si unajua mtu chake!
heheeh tena nilinde vizuri honey! manake kuna vidada kibao vinaniPM vinataka at least nikapige picha navyo lakini nimevipiga na chini halaf nikataja jina lako. Watakufa wengi bila kuumwa mwaka huu
 
Watakomaje lol!waambie nina password nitawajibu pm zako kwa loudspika mbona watajuta kunifaham!usijali swty wangu hapa niko full massnondo km komando kipens nalinda mali yangu lol!
 
Wala usijali, mi mwenyewe hata nikiwaangalia hata ramani ya trousers yangu haibadiliki maeneo ya zipu. Yaani mimi nikikuona wewe tu ndo napoteza poteza faham. Hakyamjomba hapa nilipo macho yote yamepoteza nuru hata alfabeti ya kwanza nimeisahau
 
Haaaa haaaaa,mbona raha lol! swty darling mie nataka ukolee mpaka uwe umezimia muda wote nikiwepo mwenyewe ndio fahamu zinarudi nikiondoka unazima tena haaa haaa,hapo uhakika wa kula peke yangu utakuwa 1000%!hata huyo anayetumia kidhungu ataona nyota tu lol!
 
Halaf sjui kapotelea wapi? sjui yupo jukwaa la wakubwa? anaongeza maujuzi akampagawishe rejao?
Washasepa hao, wote hawapo na rejao kaondoka watakuwa washakubaliana,tusubiri kesho mkuu rejao atatupa fidbaki lol!sasa nina uhakika na kitu changukitakuwa salama coz mzungu keshasepa nami naenda kuandaa mlo wa jion!badae swty!
 
baadae honey! acha nipige push up 40 halaf nakuja
 
Back
Top Bottom