hi foleni kimara vp tena

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
foleni imeanzia ubungu kwenda kimara kunani tena mida hii? huko mbele mi niko baruti tokea saa mbili na nusu

UPDATE:
Nimekuta kuna gari semi trailer hapo korogwe limeharibika ndo limesababisha foleni hiyo pamoja na magari yaliyoishiwa mafuta sbb ya foleni hiyo
 
hahahaaaaaaaaaaaaa, kuna wakti mwingne kuishi dar unakuwa kama mwehu hivi. Kila kitu mizinguo foleni hadi kwenye kuagiza bia bar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom